Kihongosi: Vijana jipimeni, mkiona mnatosha chukueni fomu za kugombea nafasi mbalimbali UVCCM

Kihongosi: Vijana jipimeni, mkiona mnatosha chukueni fomu za kugombea nafasi mbalimbali UVCCM

Shabani Ajaha

Member
Joined
Aug 18, 2021
Posts
78
Reaction score
60
KUELEKEA UCHAGUZI KATIBU MKUU UVCCM, NDG KENANI KIHONGOSI
ASEMA NA VIJANA.*

#AlipoMamaVijanaTupo
#2022JiandaeKuhesabiwa
#KaziIendele

=======

"Huu ni mwaka wa uchaguzi. Vijana jitokezeni kugombea nafasimbalimbalikatika chama na jumuiya zake. Jipime, ukiona unatosha naenda ukachukue fomu", amesema Kihongosi

IMG-20220328-WA0024.jpg
 
Hivi kwanini nyuzi zenu hapa Jf zinakosa wachangiaji ?
 
CCM ina hazina kubwa ya vijana wanaoweza kuleta mchango mkubwa kwenye UVCCM tatizo ni hizo siasa za kufuata upepo wa kimaslahi, kiki na siasa za visasi zinawafanya wenye uwezo na akili zao kukaa kando.

Anyway nawatakia mchakato mwema wa uchaguzi.
 
KUELEKEA UCHAGUZI KATIBU MKUU UVCCM, NDG KENANI KIHONGOSI
ASEMA NA VIJANA.*

#AlipoMamaVijanaTupo
#2022JiandaeKuhesabiwa
#KaziIendele

=======

"Huu ni mwaka wa uchaguzi. Vijana jitokezeni kugombea nafasimbalimbalikatika chama na jumuiya zake. Jipime, ukiona unatosha naenda ukachukue fomu", amesema Kihongosi

View attachment 2167621
Hawachukui fomu, kwa sababu vijana hawana pesa za kuwaonga wazeee
 
Back
Top Bottom