Kihongosi: wengine wanasema CCM ni chama cha wazee, ila hiki ni chama cha rika zote

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
"Wengine wanasema Chama cha Mapinduzi ni chama cha wazee, waambie ndiyo hiki ni chama cha wazee na rika zote na hakibagui mtu yeyote.

Hawa wazee walikuwa vijana wa zamani, na walikuwa vijana machachali kuliko hata sisi. Hata mimi baada ya mika 20, 30 nitazeeka, nitaitwa mzee, uzee haukwepeki." - Kenani Kihongosi, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM
 
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

Tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
 

Attachments

  • Screenshot_20261018_150646_Instagram.jpg
    183.9 KB · Views: 11
  • Screenshot_20261018_145244_Instagram.jpg
    81.8 KB · Views: 6
Nikimuona Kijana yupo CCM huwa nasikitika Mno.
Namuona kama hana akili timamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…