Kihoro kipo wana CCM kinawafata na wasanii wenu

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Unajua asilimia kubwa wengi tumezoea kuona mambo mengine kwenye jamii.

Ila kihoro kipo tena kwa sasa kina wakumba watu ambao hawa kutegemea kuwa watafika hapo.

Kihoro ni yale matendo uliyofanya au kuzania wewe ni bora mwisho wa siku unajikuta wewe sio bora na kukuacha umeshikwa mdomo wazi na utarudije kwa mtu au jamii na hapo hapo ugonjwa au kifo.

Wanayopitia wana CCM na wasanii sasa ni kihoro cha pro max

Nimekumbuka kauli ya sheikh mmoja tanga aliniambia ukianza kafara mambo ya kafara basi jini litakwambia leta kuku,kesho mbuzi,kesho kutwa ng'ombe na siku lita taka binadamu.

CCM na wasanii kwa sasa kuja kushtuka mshaondoka wengi
 
Death is human nature. Mwagama died at 58 huu umri ni mkubwa Sana hasa ikiwa unaishi Africa.

Tragedies like the recent loss of young lives in our protests are deeply painful. While it's natural to feel hurt and blame each other, we must remember that healing and unity are the first steps toward a better future. Together, we can rebuild and move forward.
 
Death is human nature , Mwagama died at 58 huu umri ni mkubwa Sana hasa ikiwa unaishi Africa.

Aisee yani akili yako ndo imeishia hapo.
Safiri UK au nenda Japan ukajifunze akili yako.

Maji yana kushinda kupata ufumbuzi unaona umri basi mtoa huyo mtawala
 
Nigger , mm sio CCM Ila haimaniishi kila hoja hasi dhidi ya ccm ni sahihi.
 
Unajua asilimia kubwa wengi tumezoea kuona mambo mengine kwenye jamii.

Ila kihoro kipo tena kwa sasa kina wakumba watu ambao hawa kutegemea kuwa watafika hapo.

Kihoro ni yale matendo uliyofanya au kuzania wewe ni bora mwisho wa siku unajikuta wewe sio bora na kukuacha umeshikwa mdomo wazi na utarudije kwa mtu au jamii na hapo hapo ugonjwa au kifo.

Wanayopitia wana CCM na wasanii sasa ni kihoro cha pro max

Nimekumbuka kauli ya sheikh mmoja tanga aliniambia ukianza kafara mambo ya kafara basi jini litakwambia leta kuku,kesho mbuzi,kesho kutwa ng'ombe na siku lita taka binadamu.

CCM na wasanii kwa sasa kuja kushtuka mshaondoka wengi
Namnukuu marehemu 2pac Omar Shakur..

"Watch people, support the real, trust nobody and fear is stronger than love""

Busara zake zinaishiii
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
Unajua asilimia kubwa wengi tumezoea kuona mambo mengine kwenye jamii.

Ila kihoro kipo tena kwa sasa kina wakumba watu ambao hawa kutegemea kuwa watafika hapo.

Kihoro ni yale matendo uliyofanya au kuzania wewe ni bora mwisho wa siku unajikuta wewe sio bora na kukuacha umeshikwa mdomo wazi na utarudije kwa mtu au jamii na hapo hapo ugonjwa au kifo.

Wanayopitia wana CCM na wasanii sasa ni kihoro cha pro max

Nimekumbuka kauli ya sheikh mmoja tanga aliniambia ukianza kafara mambo ya kafara basi jini litakwambia leta kuku,kesho mbuzi,kesho kutwa ng'ombe na siku lita taka binadamu.

CCM na wasanii kwa sasa kuja kushtuka mshaondoka wengi
Namnukuu marehemu 2pac Omar Shakur..

"Watch people, support the real, trust nobody and fear is stronger than love""

Busara zake zinaishiii
 
Death is human nature , Mwagama died at 58 huu umri ni mkubwa Sana hasa ikiwa unaishi Africa.

Tragedies like the recent loss of young lives in our protests are deeply painful. While it's natural to feel hurt and blame each other, we must remember that healing and unity are the first steps toward a better future. Together, we can rebuild and move forward.
miaka 58 si umri mkubwa mjuba, ni umri wa ujana. Muachage propaganda kwa watu werevu
 
Back
Top Bottom