Jamaa mmoja amedhihirisha kuwa kiingeleza ni soo baada ya kutumiwa jumbe za "happy birthday" kadhaa kwenye wall page yake ya facebook toka kwa marafiki zake mbalimbali wakimtakia heri ya siku ya kuzaliwa kwake. Basi jamaa alipitia message moja moja na kuanza kujibu "YOU TOO"
yah hiyo muvie ni ya ukweli sana mkuu!all iz well umenikumbuSHA 3IDIOTS
Hata kiswahili pia utata.
what is supposed to be the right word then, coz challenging without recommending is useless.