Kiingereza cha Diamond ni "chefu chefu"

Kiingereza cha Diamond ni "chefu chefu"

Lorenzo Samike

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2021
Posts
1,187
Reaction score
1,914
Ukisikia "kizungu-chefu chefu" ndio cha huyu Bwana mdogo nguli wa bongo fleva.

Huyu Bwana mdogo wa Tandale sijui katoa wapi hii kizungu ya kimarekani? Sijui ndio kuwa NIGGA? — Bado sijamuelewa vizuri.

You garrah gooh... i garrah duuh, i garrah fyoko, yoooo ma nigga, i garrah nyokooh!

Wajameni, kwani hivi hawezi kuongea kizungu cha Kiswahili? I mean, Kizungu chenye lafudhi asili ya mtu mswahili!

Mbona wakenya wanaongea kizungu chenye lafudhi ya Gikuyu! Ama wahindi pia huongea lafudhi ya kihindi.

Huwezi kuta muhindi anaongea hizo "I garraah garraah .... sijui nini nini!

Zungumza lafudhi uliyozaliwa nayo ndugu. Utaheshimika tu.

Sasa haya maigizo ya "i garrah go" yanatoka wapi? "

"Yooooh ma Niggah, you garraah Niggah"

Ndo nini sasa?
 
Ukisikia "kizungu-chefu chefu" ndio cha huyu Bwana mdogo nguli wa bongo fleva.

Huyu Bwana mdogo wa Tandale sijui katoa wapi hii kizungu ya kimarekani? Sijui ndio kuwa NIGGA? — Bado sijamuelewa vizuri.

You garrah gooh....
Kipindi tunatoa ushauri uende British council akasome English course alituona na mipimbi akaamua kwenda kwa Ras simba haya ndio matokeo yake YES NO..

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Kipindi tunatoa ushauri uende British council akasome English course alituona na mipimbi akaamua kwenda kwa Ras simba haya ndio matokeo yake YES NO..

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Mimi sina shida na vizungu. Nilishabukua nikapata A plus kutoka Kindergarten mpaka vyuo vikuu vya kimataifa.

Kwahiyo ung'eng'e naucharaza kama Kinanda na lafudhi yangu hii ya Kikerewe.

Shida yangu ni hizi I GORRAH DO, I GARRAH sijui nini...

Ndo nini yaanii??
 
Back
Top Bottom