Kiingereza cha Diamond ni "chefu chefu"

Kiingereza cha Diamond ni "chefu chefu"

Kwani kingereza ndio ishara ya kuonyesha umesoma?? Au umefanikiwa acha mawazo ya kikoloni hizo lugha nyingine tumeletewa .... Kijana Tafuta hela acha kusengenya wanaume wenzako

sent from HUAWEI
 
Kwani kingereza ndio ishara ya kuonyesha umesoma?? Au umefanikiwa acha mawazo ya kikoloni hizo lugha nyingine tumeletewa .... Kijana Tafuta hela acha kusengenya wanaume wenzako

sent from HUAWEI
Lazima tuseme aise
 
Ukisikia "kizungu-chefu chefu" ndio cha huyu Bwana mdogo nguli wa bongo fleva.

Huyu Bwana mdogo wa Tandale sijui katoa wapi hii kizungu ya kimarekani? Sijui ndio kuwa NIGGA? — Bado sijamuelewa vizuri.

You garrah gooh... i garrah duuh, i garrah fyoko, yoooo ma nigga, i garrah nyokooh!

Wajameni, kwani hivi hawezi kuongea kizungu cha Kiswahili? I mean, Kizungu chenye lafudhi asili ya mtu mswahili!

Mbona wakenya wanaongea kizungu chenye lafudhi ya Gikuyu! Ama wahindi pia huongea lafudhi ya kihindi.

Huwezi kuta muhindi anaongea hizo "I garraah garraah .... sijui nini nini!

Zungumza lafudhi uliyozaliwa nayo ndugu. Utaheshimika tu.

Sasa haya maigizo ya "i garrah go" yanatoka wapi? "

"Yooooh ma Niggah, you garraah Niggah"

Ndo nini sasa?
Vipi kuhusu mkwanja alionao?yaani pamoja na maendeleo aliyo nayo kutokujua kizungu kunamfanya asiwe lolote?
Unataka kusema kijana anayesaga lami mjini kutafuta ajira lakini anajua kizungu vzr kama Tony brair ni bora zaidi na ana maana zaidi kuliko Diamond anayemiriki media company na utajiri wa mabilioni ya shilingi!?
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Ukisikia "kizungu-chefu chefu" ndio cha huyu Bwana mdogo nguli wa bongo fleva.

Huyu Bwana mdogo wa Tandale sijui katoa wapi hii kizungu ya kimarekani? Sijui ndio kuwa NIGGA? — Bado sijamuelewa vizuri.

You garrah gooh... i garrah duuh, i garrah fyoko, yoooo ma nigga, i garrah nyokooh!

Wajameni, kwani hivi hawezi kuongea kizungu cha Kiswahili? I mean, Kizungu chenye lafudhi asili ya mtu mswahili!

Mbona wakenya wanaongea kizungu chenye lafudhi ya Gikuyu! Ama wahindi pia huongea lafudhi ya kihindi.

Huwezi kuta muhindi anaongea hizo "I garraah garraah .... sijui nini nini!

Zungumza lafudhi uliyozaliwa nayo ndugu. Utaheshimika tu.

Sasa haya maigizo ya "i garrah go" yanatoka wapi? "

"Yooooh ma Niggah, you garraah Niggah"

Ndo nini sasa?

Asije kusema tu i garrah pussy..

Maana itakuwa aibu ya aina yake. Diamond ni jinga hovyo sana kichwani.
 
Mi nilijua najisikia peke yangu na ule mdomo wake anavyoulambalamba kama mtoto wa kenge huku akisema"A gala.....,A gala.... basi mpaka unasikia tumbo linavurugika kutapika kabisa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] umeua mkuu ila the thing is sometimes you have to blend in, army personnels call it "flexibility". You ought to dance according to the tune sasa ukiongea kiiengereza kile cha Ras simba au kile cha kwenye Things Fall Apart, No Longer At Ease, I'll Marry when I want, Is It Possible, Three Suitors One Husband etc. Mbele ya wanyama kina Quavo, Lil Baby, sijui Lil Yachty etc. Itakua noma [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka had kupaliwa hapa, uwiiiiih
 
Kingereza cha kiba ulishakisikia? You know you know, kila sentensi you know.
Bora mnyama, kamaliza british sasa anacha american
 
Mi naona akijilazimisha vizungu vya Kuigiza ndo wanamdharau zaidi.

Mbona wenzake akina Davido wanaongea vizungu vya kinaijeria na wanaheshimika tu! — Tena ile Pidgin ya Kinaijeria ya hovyo kweli.

Sijawahi kusikia akina Davido wanaongea namna ile ya Bwana yule wa Tandale.

"Watsapp Nigga... Yoooo..."

Huku English yenyewe broken, unaonekana pimbi tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom