Kiingereza cha Diamond ni "chefu chefu"

Kiingereza cha Diamond ni "chefu chefu"

Tupac syndrome kapata kwa madai yake,ona lile tambala pale kichwani kalifunga dizaini ya Tupac.
Itakua Salaam na Babutale wamefanya yao.
Babu tale sijui aliongea nini USA sidhani kama anajua hata kusema hiyo I garra fyoooo😂😂
 
Ukisikia "kizungu-chefu chefu" ndio cha huyu Bwana mdogo nguli wa bongo fleva.

Huyu Bwana mdogo wa Tandale sijui katoa wapi hii kizungu ya kimarekani? Sijui ndio kuwa NIGGA? — Bado sijamuelewa vizuri.

You garrah gooh... i garrah duuh, i garrah fyoko, yoooo ma nigga, i garrah nyokooh!

Wajameni, kwani hivi hawezi kuongea kizungu cha Kiswahili? I mean, Kizungu chenye lafudhi asili ya mtu mswahili!

Mbona wakenya wanaongea kizungu chenye lafudhi ya Gikuyu! Ama wahindi pia huongea lafudhi ya kihindi.

Huwezi kuta muhindi anaongea hizo "I garraah garraah .... sijui nini nini!

Zungumza lafudhi uliyozaliwa nayo ndugu. Utaheshimika tu.

Sasa haya maigizo ya "i garrah go" yanatoka wapi? "

"Yooooh ma Niggah, you garraah Niggah"

Ndo nini sasa?
Umenichekesha eti I garah go watu mna maneno sana.
Sema mkuu kuna kale ka msemu eti "Kingereza bila pesa ni sawa na kupiga kelele" RIP Langa
 
Ukisikia "kizungu-chefu chefu" ndio cha huyu Bwana mdogo nguli wa bongo fleva.

Huyu Bwana mdogo wa Tandale sijui katoa wapi hii kizungu ya kimarekani? Sijui ndio kuwa NIGGA? — Bado sijamuelewa vizuri.

You garrah gooh... i garrah duuh, i garrah fyoko, yoooo ma nigga, i garrah nyokooh!

Wajameni, kwani hivi hawezi kuongea kizungu cha Kiswahili? I mean, Kizungu chenye lafudhi asili ya mtu mswahili!

Mbona wakenya wanaongea kizungu chenye lafudhi ya Gikuyu! Ama wahindi pia huongea lafudhi ya kihindi.

Huwezi kuta muhindi anaongea hizo "I garraah garraah .... sijui nini nini!

Zungumza lafudhi uliyozaliwa nayo ndugu. Utaheshimika tu.

Sasa haya maigizo ya "i garrah go" yanatoka wapi? "

"Yooooh ma Niggah, you garraah Niggah"

Ndo nini sasa?
Huo ni wivu tu. Hata akiongea cha Kizulu wewe kina kuuma nini? Si shabiki wa bongo fleva. Wala sishabikii hao vijana wanaoimba bongo fleva, lakini siwezi kuwasema tu mradi kuwasema. Mengine sioni hata sababu ya kuwasema. Ni wivu tu unawasumbua baadhi ya watz. Tujifunze kuheshimu maisha ya watu.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy

Mhhhh
 
Sikilizeni nyie mbuzi mwitu, hyo ni lugha ya kisanii , jamaa kaishia form four sjui form two lakni anajitahd kuitendea Haki tasnia yake , kuna undergraduate kibao tuu wakikutana na snoopy Dogg lazima wachore , ...... Ni kweli jamaa kingereza ni cha kuunga unga hata hvyo anajitahd kuliko kunyamaza kimya .....

Alaf we mtoa mada ni expert kwenye fluent English au na wewe ni mabonde kuinama a.k.a Sura ya kushindia makande

Yu garrah go
 
Back
Top Bottom