Captain 22175
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 249
- 407
Confuse tukae wapi. Hahahaha I garra fyoooo wa maniga. HahahahaNa sisi wa chips egg far far or confuse tukae wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Confuse tukae wapi. Hahahaha I garra fyoooo wa maniga. HahahahaNa sisi wa chips egg far far or confuse tukae wapi?
Hahahahaaaaaàa.....
Ndo anaongea nini sasa hapo?
Huyu mtandale chenga kweli.
Babu tale sijui aliongea nini USA sidhani kama anajua hata kusema hiyo I garra fyoooo😂😂Tupac syndrome kapata kwa madai yake,ona lile tambala pale kichwani kalifunga dizaini ya Tupac.
Itakua Salaam na Babutale wamefanya yao.
Mi nikisoma Hilo neno garra fyoooo kwangu hoiiiiBabu tale sijui aliongea nini USA sidhani kama anajua hata kusema hiyo I garra fyoooo[emoji23][emoji23]
Hahahaha hadi nimelia wallahMi nikisoma Hilo neno garra fyoooo kwangu hoiiii
hahahaHahahaha hadi nimelia wallah
U garrah not understand u nigga u garrah undertaker garrah garrah meni
Kweli aiseee......Diamond ni mswahili kwa kifupi ni limbukeni sana Mpaka anatia kichefu Chefu
Labda kwa sababu ya maisha aliokulia uswekeni huko
Umenichekesha eti I garah go watu mna maneno sana.Ukisikia "kizungu-chefu chefu" ndio cha huyu Bwana mdogo nguli wa bongo fleva.
Huyu Bwana mdogo wa Tandale sijui katoa wapi hii kizungu ya kimarekani? Sijui ndio kuwa NIGGA? — Bado sijamuelewa vizuri.
You garrah gooh... i garrah duuh, i garrah fyoko, yoooo ma nigga, i garrah nyokooh!
Wajameni, kwani hivi hawezi kuongea kizungu cha Kiswahili? I mean, Kizungu chenye lafudhi asili ya mtu mswahili!
Mbona wakenya wanaongea kizungu chenye lafudhi ya Gikuyu! Ama wahindi pia huongea lafudhi ya kihindi.
Huwezi kuta muhindi anaongea hizo "I garraah garraah .... sijui nini nini!
Zungumza lafudhi uliyozaliwa nayo ndugu. Utaheshimika tu.
Sasa haya maigizo ya "i garrah go" yanatoka wapi? "
"Yooooh ma Niggah, you garraah Niggah"
Ndo nini sasa?
Huo ni wivu tu. Hata akiongea cha Kizulu wewe kina kuuma nini? Si shabiki wa bongo fleva. Wala sishabikii hao vijana wanaoimba bongo fleva, lakini siwezi kuwasema tu mradi kuwasema. Mengine sioni hata sababu ya kuwasema. Ni wivu tu unawasumbua baadhi ya watz. Tujifunze kuheshimu maisha ya watu.Ukisikia "kizungu-chefu chefu" ndio cha huyu Bwana mdogo nguli wa bongo fleva.
Huyu Bwana mdogo wa Tandale sijui katoa wapi hii kizungu ya kimarekani? Sijui ndio kuwa NIGGA? — Bado sijamuelewa vizuri.
You garrah gooh... i garrah duuh, i garrah fyoko, yoooo ma nigga, i garrah nyokooh!
Wajameni, kwani hivi hawezi kuongea kizungu cha Kiswahili? I mean, Kizungu chenye lafudhi asili ya mtu mswahili!
Mbona wakenya wanaongea kizungu chenye lafudhi ya Gikuyu! Ama wahindi pia huongea lafudhi ya kihindi.
Huwezi kuta muhindi anaongea hizo "I garraah garraah .... sijui nini nini!
Zungumza lafudhi uliyozaliwa nayo ndugu. Utaheshimika tu.
Sasa haya maigizo ya "i garrah go" yanatoka wapi? "
"Yooooh ma Niggah, you garraah Niggah"
Ndo nini sasa?
MhhhhHuo ni wivu tu. Hata akiongea cha Kizulu wewe kina kuuma nini? Si shabiki wa bongo fleva. Wala sishabikii hao vijana wanaoimba bongo fleva, lakini siwezi kuwasema tu mradi kuwasema. Mengine sioni hata sababu ya kuwasema. Ni wivu tu unawasumbua baadhi ya watz. Tujifunze kuheshimu maisha ya watu.
DaaaahhI garaaaah rolls royce I garaaah Cadillac I garaaah private jet on the way so this song jealous by alikiba agaragoooh to mwijaku and hbaba
Sikilizeni nyie mbuzi mwitu, hyo ni lugha ya kisanii , jamaa kaishia form four sjui form two lakni anajitahd kuitendea Haki tasnia yake , kuna undergraduate kibao tuu wakikutana na snoopy Dogg lazima wachore , ...... Ni kweli jamaa kingereza ni cha kuunga unga hata hvyo anajitahd kuliko kunyamaza kimya .....
Alaf we mtoa mada ni expert kwenye fluent English au na wewe ni mabonde kuinama a.k.a Sura ya kushindia makande
Ahsante kwa maoniHajuwi kiinglishi lkn mkwanja unaingia ww na kiinglishi chako njaa tupu
Wabongo roho mbaya tuBinadamu bwn wivu tu au anakuchukia tu mtu alikua hajui hata hyo gra gra kajifunza ili lengo lake litimie kwani kasema anajua hyo lugha ?? Kuzdi wngine ?