Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,187
- 1,914
- Thread starter
- #81
Nieleze.Cha mwendazake je!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nieleze.Cha mwendazake je!?
Umeliona RR lake...we hko kinge chako grade A una hata gari???hahahahah...maan.ina zako maskin wewUkisikia "kizungu-chefu chefu" ndio cha huyu Bwana mdogo nguli wa bongo fleva.
Huyu Bwana mdogo wa Tandale sijui katoa wapi hii kizungu ya kimarekani? Sijui ndio kuwa NIGGA? — Bado sijamuelewa vizuri.
You garrah gooh... i garrah duuh, i garrah fyoko, yoooo ma nigga, i garrah nyokooh!
Wajameni, kwani hivi hawezi kuongea kizungu cha Kiswahili? I mean, Kizungu chenye lafudhi asili ya mtu mswahili!
Mbona wakenya wanaongea kizungu chenye lafudhi ya Gikuyu! Ama wahindi pia huongea lafudhi ya kihindi.
Huwezi kuta muhindi anaongea hizo "I garraah garraah .... sijui nini nini!
Zungumza lafudhi uliyozaliwa nayo ndugu. Utaheshimika tu.
Sasa haya maigizo ya "i garrah go" yanatoka wapi? "
"Yooooh ma Niggah, you garraah Niggah"
Ndo nini sasa?
Tatizo alivaa nguo za kimasai huku akijua wazi watu wanajua watu wa jamii hiyo wanaongeajeMi naona akijilazimisha vizungu vya Kuigiza ndo wanamdharau zaidi.
Mbona wenzake akina Davido wanaongea vizungu vya kinaijeria na wanaheshimika tu! — Tena ile Pidgin ya Kinaijeria ya hovyo kweli.
Sijawahi kusikia akina Davido wanaongea namna ile ya Bwana yule wa Tandale.
"Watsapp Nigga... Yoooo..."
Huku English yenyewe broken, unaonekana pimbi tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Alafu kwenye maisha ya kitaa unachapa ung'eng'e wa kulala na njaaMimi sina shida na vizungu. Nilishabukua nikapata A plus kutoka Kindergarten mpaka vyuo vikuu vya kimataifa.
Kwahiyo ung'eng'e naucharaza kama Kinanda na lafudhi yangu hii ya Kikerewe.
Shida yangu ni hizi I GORRAH DO, I GARRAH sijui nini...
Ndo nini yaanii??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Alafu kwenye maisha ya kitaa unachapa ung'eng'e wa kulala na njaa
Ukisikia "kizungu-chefu chefu" ndio cha huyu Bwana mdogo nguli wa bongo fleva.
Huyu Bwana mdogo wa Tandale sijui katoa wapi hii kizungu ya kimarekani? Sijui ndio kuwa NIGGA? — Bado sijamuelewa vizuri.
You garrah gooh... i garrah duuh, i garrah fyoko, yoooo ma nigga, i garrah nyokooh!
Wajameni, kwani hivi hawezi kuongea kizungu cha Kiswahili? I mean, Kizungu chenye lafudhi asili ya mtu mswahili!
Mbona wakenya wanaongea kizungu chenye lafudhi ya Gikuyu! Ama wahindi pia huongea lafudhi ya kihindi.
Huwezi kuta muhindi anaongea hizo "I garraah garraah .... sijui nini nini!
Zungumza lafudhi uliyozaliwa nayo ndugu. Utaheshimika tu.
Sasa haya maigizo ya "i garrah go" yanatoka wapi? "
"Yooooh ma Niggah, you garraah Niggah"
Ndo nini sasa?
Kulala na njaa ni maisha tuliyoyazoea sisi watoto wa peasants![emoji23] [emoji23] [emoji23] Alafu kwenye maisha ya kitaa unachapa ung'eng'e wa kulala na njaa
Daah!Tatizo alivaa nguo za kimasai huku akijua wazi watu wanajua watu wa jamii hiyo wanaongeaje
Yani ye kupewa fursa kidogo tu aongee na snoop eti anakuja kutoa lafudhi ya beckham
Nashukuru.The best thing I noticed ni kwamba watanzania wengi wana lafudhi nzuri sana wakiongea kiswahili as well as kingereza.
Huyo jamaa, hizo I garahh I gorohh ndo zinamfanya amiliki rolls Royce na Cadillac Escalade. Sie tuendelee tu na lafudhi yetu mkuu.
Hiyo ya mwisho ughaibuni hua ina nyongwa hiviI wanna do tha(that)ooh yeah.
I gonna make yu happy.
Let me chek on twiraa (tweeter)
Wewe ongea cha kwako yeye naye aongee cha kwake..magufuli mwenyewe alishasema hapangiwi na mtu weee ni nani umpangie mwenzako namna ya kutamka maneno..hata akiongea kama bata kama hakusemeshi wewe pitiliza hiviiUkisikia "kizungu-chefu chefu" ndio cha huyu Bwana mdogo nguli wa bongo fleva.
Huyu Bwana mdogo wa Tandale sijui katoa wapi hii kizungu ya kimarekani? Sijui ndio kuwa NIGGA? — Bado sijamuelewa vizuri.
You garrah gooh... i garrah duuh, i garrah fyoko, yoooo ma nigga, i garrah nyokooh!
Wajameni, kwani hivi hawezi kuongea kizungu cha Kiswahili? I mean, Kizungu chenye lafudhi asili ya mtu mswahili!
Mbona wakenya wanaongea kizungu chenye lafudhi ya Gikuyu! Ama wahindi pia huongea lafudhi ya kihindi.
Huwezi kuta muhindi anaongea hizo "I garraah garraah .... sijui nini nini!
Zungumza lafudhi uliyozaliwa nayo ndugu. Utaheshimika tu.
Sasa haya maigizo ya "i garrah go" yanatoka wapi? "
"Yooooh ma Niggah, you garraah Niggah"
Ndo nini sasa?
Hata kama.Wewe ongea cha kwako yeye naye aongee cha kwake..magufuli mwenyewe alishasema hapangiwi na mtu weee ni nani umpangie mwenzako namna ya kutamka maneno..hata akiongea kama bata kama hakusemeshi wewe pitiliza hivii
Mondi Hana 10B cash..labda zaga zaga na Ile share ya uchafuni mediaSio ajabu,hata la saba hakumaliza,wewe unayejua kizungu una mchango gani kwenye jamii?Mond asiyejua kizungu kuwa na billioni 10 kwenye akaunti ni kitu Cha kawaida.
Waafrika tumelogwa kweli,yaani mkwanja wote alionao Mond,unamuona sio chochote kwa vile tu,hajuhi kizungu?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
"Boy from Tandale"? I'm actually impressed!
Alipokuwa amerika aliongea na kina snoopy kwa lugha ipi?Diamond kama msanii wa kimataifa alitakiwa kujifunza lugha walau kidogo. Halafu ukijua wewe lugha kwako ni kama marehemu wa awamu ya tano, usiruhusu kurekodiwa kimandazi mandazi.
kumbuka kiingereza kwake ni cha mtu ambaye hana elimu, amejifunzia kwa kusikia tu kwa Zari, na kiingereza cha zari chenyewe unakijua, yeye mwenyewe hana elimu, anazo tu sehemu za siri.Ukisikia "kizungu-chefu chefu" ndio cha huyu Bwana mdogo nguli wa bongo fleva.