Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima tuseme aiseKwani kingereza ndio ishara ya kuonyesha umesoma?? Au umefanikiwa acha mawazo ya kikoloni hizo lugha nyingine tumeletewa .... Kijana Tafuta hela acha kusengenya wanaume wenzako
sent from HUAWEI
Vipi kuhusu mkwanja alionao?yaani pamoja na maendeleo aliyo nayo kutokujua kizungu kunamfanya asiwe lolote?Ukisikia "kizungu-chefu chefu" ndio cha huyu Bwana mdogo nguli wa bongo fleva.
Huyu Bwana mdogo wa Tandale sijui katoa wapi hii kizungu ya kimarekani? Sijui ndio kuwa NIGGA? — Bado sijamuelewa vizuri.
You garrah gooh... i garrah duuh, i garrah fyoko, yoooo ma nigga, i garrah nyokooh!
Wajameni, kwani hivi hawezi kuongea kizungu cha Kiswahili? I mean, Kizungu chenye lafudhi asili ya mtu mswahili!
Mbona wakenya wanaongea kizungu chenye lafudhi ya Gikuyu! Ama wahindi pia huongea lafudhi ya kihindi.
Huwezi kuta muhindi anaongea hizo "I garraah garraah .... sijui nini nini!
Zungumza lafudhi uliyozaliwa nayo ndugu. Utaheshimika tu.
Sasa haya maigizo ya "i garrah go" yanatoka wapi? "
"Yooooh ma Niggah, you garraah Niggah"
Ndo nini sasa?
Ukisikia "kizungu-chefu chefu" ndio cha huyu Bwana mdogo nguli wa bongo fleva.
Huyu Bwana mdogo wa Tandale sijui katoa wapi hii kizungu ya kimarekani? Sijui ndio kuwa NIGGA? — Bado sijamuelewa vizuri.
You garrah gooh... i garrah duuh, i garrah fyoko, yoooo ma nigga, i garrah nyokooh!
Wajameni, kwani hivi hawezi kuongea kizungu cha Kiswahili? I mean, Kizungu chenye lafudhi asili ya mtu mswahili!
Mbona wakenya wanaongea kizungu chenye lafudhi ya Gikuyu! Ama wahindi pia huongea lafudhi ya kihindi.
Huwezi kuta muhindi anaongea hizo "I garraah garraah .... sijui nini nini!
Zungumza lafudhi uliyozaliwa nayo ndugu. Utaheshimika tu.
Sasa haya maigizo ya "i garrah go" yanatoka wapi? "
"Yooooh ma Niggah, you garraah Niggah"
Ndo nini sasa?
hahahahaAsije kusema tu i garrah pussy..
Maana itakuwa aibu ya aina yake. Diamond ni jinga hovyo sana kichwani.
Wanaume 'tata'.Siku hizi wanaume ndo wanaongoza kwa kusengenya watu kuliko wanawake
Wanaume wanafeli sana siku hizi.Siku hizi wanaume ndo wanaongoza kwa kusengenya watu kuliko wanawake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwenda Marekani kwenye zile tuzo za grammy mara kadhaa kumemsaidia akajua kizungu, mtamkoma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na sisi wa chips egg far far or confuse tukae wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"i garrah fyoko, yoooo ma nigga, i garrah nyokooh!" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka had kupaliwa hapa, uwiiiiih[emoji23][emoji23][emoji23] umeua mkuu ila the thing is sometimes you have to blend in, army personnels call it "flexibility". You ought to dance according to the tune sasa ukiongea kiiengereza kile cha Ras simba au kile cha kwenye Things Fall Apart, No Longer At Ease, I'll Marry when I want, Is It Possible, Three Suitors One Husband etc. Mbele ya wanyama kina Quavo, Lil Baby, sijui Lil Yachty etc. Itakua noma [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi naona akijilazimisha vizungu vya Kuigiza ndo wanamdharau zaidi.
Mbona wenzake akina Davido wanaongea vizungu vya kinaijeria na wanaheshimika tu! — Tena ile Pidgin ya Kinaijeria ya hovyo kweli.
Sijawahi kusikia akina Davido wanaongea namna ile ya Bwana yule wa Tandale.
"Watsapp Nigga... Yoooo..."
Huku English yenyewe broken, unaonekana pimbi tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yeye ana shida na ndo hiyo.
Na anatengeneza hela na hiyo hiyo garaaaaah whaaaaaa?
Garaaaah Nyokoooooko.
Wamesema gorrah go ni kingereza cha mpito kuelekea kutema perfect queen englishKwani CCM wenyewe wanasemaje?