Kiingereza cha Diamond,The Sporah Show na kile cha Shigongo,Straight Talk Africa

Mambo ya kumuita wife "He" huku anaweka accent ya kimarekani "you know, gonna"

kwanini sasa domo aliongea kimombo?mbona interviews zilizopita aliongeha. kiswahili.au sporah show hairuhusu tena kiswahili.maanake washabiki wake wengi waswahili..sielewi sana kuhusu tv business. naomba kueleweshwa
 
British Eng n' American Eng ni major dialects ambazo zinakubalika,hamna ubaya mtu akitumia lahaja yoyote kati ya hizo kuliko kuongea kiinglish cha lafudhi ya kinyakyusa au lugha yoyote ya kibantu. Naheshimu mawazo yako na naamini kuna mahala watajirekebisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…