Kiingereza cha Diamond,The Sporah Show na kile cha Shigongo,Straight Talk Africa

Ungana

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
357
Reaction score
74
Well,inatia moyo kuona waswahili sasa tunaanza kuwa majasiri wa kufanya interview za kiingereza(JAPO BROKEN) na hasa ujasiri huo unapofikia hatua ya kufanya interview katika vipindi vya TV vinavoangaliwa na watu wengi duniani kote.So,jana tar.30/9 nilimsikiliza Diamond akiamua kuwa jasiri na kupima uwezo wake wa kukimudu kimombo pale alipofanya interview ya kimombo na Mrembo Sporah Njau wa The Sporah Show kinachorushwa Clouds TV kutokea London.

Na wakati huu namsikiliza Eric Shigongo akifanya interview na presenter mahiri wa kipindi cha Straight Talk Africa,Prof Chaka Ssali wa The Voice of Africa.Nawapongeza kabisaaaaaa but man,we can still pick a hole or two in the interviews: (1).The guys are trying too hard to impress and to sound relevant,nafikiri wakati mwingine wasipanie au wasiwe na fikra kuwa ndugu zao tunaowaangalia huku tuwakome,i mean wafanye interview wakiwa totally focused on the issues raised in the interviews na wasitake tunaowasikiliza "tuwakome" (2).Sporah alizungumza Queen's English wakati Diamond alitaka watazamaji tuamini kuwa yeye ni Kanye West au 50 Cent.

Hivyo hivyo Eric Shigongo wants us to believe kuwa yeye ni wa mitaa ya Brooklyn New York wakati yeye ni Msukuma through and through....ninachosema,they need not fake their accent,mbona Chaka Ssali ni profesa na anazeekea Marekani lakini hathubutu kusema accent ya kimarekani?

Yeye bado anapiga kiingereza chake cha Kabale Uganda and he's doing good!Nasema hivi,wanastahili pongezi lakini wazungumze kiingereza cha kawaida tu wasitake kutafuna maneno kama kina Obama,kufanya hivyo kunawaboa viewers because for one,they are not fluent,sasa kama hauko fluent utatakaje kujiongelesha accent ya kimarekani,people!Wanigeria na Wakenya mbona wanaongea tu kivyao vyao and we have come to like Nigerian English'oooo,haven't we?

Hongera Diamond,hongera Shigongo,mna afadhali kuliko Mh.Membe,siku moja nilimsikiliza kwenye kipindi kilekile cha Straight Talk Africa niliboreka sana,sikuona tofauti yake na Mulugo
 
Well,inatia moyo kuona waswahili sasa tunaanza kuwa majasiri wa kufanya interview za kiingereza(JAPO BROKEN) na hasa ujasiri huo unapofikia hatua ya kufanya interview katika vipindi vya TV vinavoangaliwa na watu wengi duniani kote.So,jana tar.30/9 nilimsikiliza Diamond akiamua kuwa jasiri na kupima uwezo wake wa kukimudu kimombo pale alipofanya interview ya kimombo na Mrembo Sporah Njau wa The Sporah Show kinachorushwa Clouds TV kutokea London.Na wakati huu namsikiliza Eric Shigongo akifanya interview na presenter mahiri wa kipindi cha Straight Talk Africa,Prof Chaka Ssali wa The Voice of Africa.Nawapongeza kabisaaaaaa but man,we can still pick a hole or two in the interviews: (1).The guys are trying too hard to impress and to sound relevant,nafikiri wakati mwingine wasipanie au wasiwe na fikra kuwa ndugu zao tunaowaangalia huku tuwakome,i mean wafanye interview wakiwa totally focused on the issues raised in the interviews na wasitake tunaowasikiliza "tuwakome" (2).Sporah alizungumza Queen's English wakati Diamond alitaka watazamaji tuamini kuwa yeye ni Kanye West au 50 Cent.Hivyo hivyo Eric Shigongo wants us to believe kuwa yeye ni wa mitaa ya Brooklyn New York wakati yeye ni Msukuma through and through....ninachosema,they need not fake their accent,mbona Chaka Ssali ni profesa na anazeekea Marekani lakini hathubutu kusema accent ya kimarekani?Yeye bado anapiga kiingereza chake cha Kabale Uganda and he's doing good!Nasema hivi,wanastahili pongezi lakini wazungumze kiingereza cha kawaida tu wasitake kutafuna maneno kama kina Obama,kufanya hivyo kunawaboa viewers because for one,they are not fluent,sasa kama hauko fluent utatakaje kujiongelesha accent ya kimarekani,people!Wanigeria na Wakenya mbona wanaongea tu kivyao vyao and we have come to like Nigerian English'oooo,haven't we?

Hongera Diamond,hongera Shigongo,mna afadhali kuliko Mh.Membe,siku moja nilimsikiliza kwenye kipindi kilekile cha Straight Talk Africa niliboreka sana,sikuona tofauti yake na Mulugo

Umeongea vizuri sana. Na hapa ndio ninapowapendaga wahaya.
 
They might be compitent but performance ikazngua au wakawa wana perform vizur lakini hawako compitent. . Nimependa uchambuz wako na hapa naon kabisa kati ya viwili nilivyo ainisha basi kimoja wapo kimepotea. Which means wote wako wana perform kuongea kiingereza no matter Bri or Amer lakini tatizo kwenye competence.. sidhani kama wako vizur sana na hii hupelekea kuharibu kwa lugha nzimam kivip ni kwamba atataka atamke neno kwa accent au tunasema kwa mtindo fulan either Bri or Amer lakini huarbu maana ya neno hasa zaid n kwamba Bri na Amer hutofautiana ktk baadhi ya maneno kama Bri neno colour lakini amer ni color ama neno centre kwa Bri na center kwa Amer au pengne baadh ya maneno wanayo tofautiana like rubber, gas etc , sasa ukiforce kitu wakati hauko competent una harbu maana nzma ya neno husika. Sijachek hzo interview lakn madhara yake n kukosa audience kwa sababu mwngne atasema aagh. Anajfanya mmarekan siangalii lakini itawa bore watazamaj kama kutakuwa na reputation ya maneno kwenye sentensi
 
Well,inatia moyo kuona waswahili sasa tunaanza kuwa majasiri wa kufanya interview za kiingereza(JAPO BROKEN) na hasa ujasiri huo unapofikia hatua ya kufanya interview katika vipindi vya TV vinavoangaliwa na watu wengi duniani kote.So,jana tar.30/9 nilimsikiliza Diamond akiamua kuwa jasiri na kupima uwezo wake wa kukimudu kimombo pale alipofanya interview ya kimombo na Mrembo Sporah Njau wa The Sporah Show kinachorushwa Clouds TV kutokea London.

Na wakati huu namsikiliza Eric Shigongo akifanya interview na presenter mahiri wa kipindi cha Straight Talk Africa,Prof Chaka Ssali wa The Voice of Africa.Nawapongeza kabisaaaaaa but man,we can still pick a hole or two in the interviews: (1).The guys are trying too hard to impress and to sound relevant,nafikiri wakati mwingine wasipanie au wasiwe na fikra kuwa ndugu zao tunaowaangalia huku tuwakome,i mean wafanye interview wakiwa totally focused on the issues raised in the interviews na wasitake tunaowasikiliza "tuwakome" (2).Sporah alizungumza Queen's English wakati Diamond alitaka watazamaji tuamini kuwa yeye ni Kanye West au 50 Cent.

Hivyo hivyo Eric Shigongo wants us to believe kuwa yeye ni wa mitaa ya Brooklyn New York wakati yeye ni Msukuma through and through....ninachosema,they need not fake their accent,mbona Chaka Ssali ni profesa na anazeekea Marekani lakini hathubutu kusema accent ya kimarekani?

Yeye bado anapiga kiingereza chake cha Kabale Uganda and he's doing good!Nasema hivi,wanastahili pongezi lakini wazungumze kiingereza cha kawaida tu wasitake kutafuna maneno kama kina Obama,kufanya hivyo kunawaboa viewers because for one,they are not fluent,sasa kama hauko fluent utatakaje kujiongelesha accent ya kimarekani,people!Wanigeria na Wakenya mbona wanaongea tu kivyao vyao and we have come to like Nigerian English'oooo,haven't we?

Hongera Diamond,hongera Shigongo,mna afadhali kuliko Mh.Membe,siku moja nilimsikiliza kwenye kipindi kilekile cha Straight Talk Africa niliboreka sana,sikuona tofauti yake na Mulugo

Hahahah Mulugo! You have made my day
 
Point,I like it.
 
Shigongo alikuwa anajitaidi kuongea kimarekan ila alifanya vizuri am inspired
 
Unajua hawa watu wamejifunza lugha ya kiingereza kwa usongo inategemea walifundishwa kwenye watu wanaozungumza vipi, American or UK pengine Shigongo aliishi na wamarekani akajua hivyo alivyoongea, ni sawa na Mtanzania hata akiwa mzaramo akikaa Arusha muda mrefu ataongea kama wao. Ishu ya Mulugo na Membe imeniacha sina la kusema, jana kulikuwa na mahojiano na wageni kutoka BBC walitembelea Star TV mahojiano yalifanywa na Celin MWakabwale alikuwa anaongea kiswahili mkalimani anamtafsiria mgeni anamjibu kiingereza sasa kama ni elimu Celin ni gradute na hata kuongea kiingereza cha kiswahili alishindwa sijui tumlaumu mulugo au tujilaumu sisi wananchi class seven kaongea hivyo tumpongeze tu.
 
Mahojiano ya membe yanahusu mambo ya kitaalam.. Mazungumzo ya diamond ni ya kawaida tofaut
 
you have a point.... it's best to focus kwa interview instead of kujichetua mpaka point ya interview inapotea watu wanaanza kuconcentrate na broken badala ya dhana ya kipindi
 
Mleta mada na ww usilazimishe au kuaminisha watu kuwa ssali yuko sahihi na lafudhi yake. Jamaa mdomo mzito tu na hatakaa aweze kutamka kingereza cha malkia au mmarekani. Ukijifunza phonoloji ndio utajua hao wanaotumia lafudhi za kwao kutamkia lugha zingine wanakosea wapi. Ndio maana mtu kama shaka na wengine hawawezi kuajiriwa sehem kama bbc au shirika jingine kwa kuwa hawana english accent, so waache hao ndugu zako
 
Hahahah Mulugo! You have made my day[/HQUOTE]

Jamani mwenye clip ta Mulugo atuwekee hapa tucheke kidogo.Wiki iliyopita clouds fm power breakfast waliicheza kidogo.Hahaaaa! in the year one thousand nineteen sixty one!!!!
 
Hata hivyo sio lugha yetu hata kama angeongea kisukuma au kimanyema na kutafuta wakalimani nisingewashangaa daima dawamu.......chukueni 5
 
Mleta mada na ww usilazimishe au kuaminisha watu kuwa ssali yuko sahihi na lafudhi yake. Jamaa mdomo mzito tu na hatakaa aweze kutamka kingereza cha malkia au mmarekani. Ukijifunza phonoloji ndio utajua hao wanaotumia lafudhi za kwao kutamkia lugha zingine wanakosea wapi. Ndio maana mtu kama shaka na wengine hawawezi kuajiriwa sehem kama bbc au shirika jingine kwa kuwa hawana english accent, so waache hao ndugu zako

Shaka hawezi kuajiriwa BBC?na VOA anafanya nini
 
Back
Top Bottom