Kiingereza cha Nuhu Mziwanda

Kiingereza cha Nuhu Mziwanda

ericford

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
265
Reaction score
68
hivi wanafanya makusudi au..
 

Attachments

  • 1432641392957.jpg
    1432641392957.jpg
    41.6 KB · Views: 708
Mnacho takiwa kujua huyu na Mkewe wana tafuta kiki kwa nguvu hakuna cha kukosea kingereza wala nini..!

Pengine hawajui kweli lakini wana zidisha ili waongelewe ...
 
Dah!
Ama kweli duka limejaaa!!!
Ndorobo wapo wengi kweli kwenye tasnia yetu..
 
Mnacho takiwa kujua huyu na Mkewe wana tafuta kiki kwa nguvu hakuna cha kukosea kingereza wala nini..! Pengine hawajui kweli lakini wana zidisha ili waongelewe ...

Wanatafuta kiki hicho kiingreza walikijua lini,yaan hapo sio kujifanyisha Bali ni hawajui tu
 
Diamond alianza hivyo hivyo hadi akajua,nyie mnaocheka mnaishia kutokujua kabisa
 
Kwa mfano tukiwapuuzia na kutowajadili hapa itakuaje?
 
Back
Top Bottom