Kiingereza kilishawagomea ndugu zetu wa kusini, hata kwenye hafla za kitaifa

Nashindwa huyo Kijakazi anatuona sie ni wajinga. Anakazana kwamba Nyerere hakutoa mchango wowote kukifanya Kiswahili kitie mizizi Tanzania.
 
Kazi kweli kweli, language supremacy tena. Anyways, maisha ni poa tu huku TZ na bloken English zetu.
 
Huwa mnachesha sana lakini

Mjaluo kakomaa kukosoa lugha ya wazungu, unateseka wakati sio kijaluo , hata wakikosea wewe haina hasara kwako maana sio lugha yako wewe

Sasa mbona usiandike kwa Kisukuma badala ya kung'ang'ania lugha ambayo huna uwezo nayo....
 
Sasa mbona usiandike kwa Kisukuma badala ya kung'ang'ania lugha ambayo huna uwezo nayo....
Hili swali walipaswa waniulize wazungu wenye lugha yao, sio wewe jaluo acha uchungu na lugha za wengine ni hatari kwa afya yako
 
Sema wabongo sisi wengi wajuaji sana. Mtu anaona akiandika au kuongea kiingereza ni deal matokeo yake anatoa boko mpaka aibu.

Lugha kama huijui usi force.
 
Wachina wengi waturuki,warusi,waspanish,waarabu hawajui kingereza pia ,,wamekufa? Yan wakenya kujua kingereza wanajiona wenyewe hahah
 
Hili swali walipaswa waniulize wazungu wenye lugha yao, sio wewe jaluo acha uchungu na lugha za wengine ni hatari kwa afya yako

Halafu hapo unapita na bango kwa waswahili wenzio wasiojua kingereza pia, mnaonekana majuha nyote...ha ha ha!!
 
Wachina wengi waturuki,warusi,waspanish,waarabu hawajui kingereza pia ,,wamekufa? Yan wakenya kujua kingereza wanajiona wenyewe hahah

Wao Wachina, Waturki n.k. kama hawajui kingereza huwakuti waking'anga'nia kukitumia kwenye hafla zao, ila nyie sijui ujuha au nini, hafla ya kitaifa kabisa mnaandika upupu mkitumia lugha ambayo imewapa chenga.
 
Halafu hapo unapita na bango kwa waswahili wenzio wasiojua kingereza pia, mnaonekana majuha nyote...ha ha ha!!
Hakuna anae angaika na bango , huo ni ushamba wenu wajaluo kuwa na uchungu na kiingereza kuliko wazungu wenyewe ovyo kabisa
 
Hakuna anae angaika na bango , huo ni ushamba wenu wajaluo kuwa na uchungu na kiingereza kuliko wazungu wenyewe ovyo kabisa

Kila nikiangalia hili bango nacheka sana, andikeni Kisukuma lugha ya watu imewapa chenga....ha ha ha

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…