Kiingereza kilishawagomea ndugu zetu wa kusini, hata kwenye hafla za kitaifa

Pure slavery!!

Naona mumeamrishwa wapi kwa kuhamia maana kingereza kimeshindikana... ha ha ha

screenshot_20220731-204338-2-jpg.2310321
 
Mjaluo kakomaa kukosoa lugha ya wazungu, unateseka wakati sio kijaluo , hata wakikosea wewe haina hasara kwako maana sio lugha yako wewe
Ukweli mchungu,mkome kuichafua lugha ya malkia.
Komaeni na kiswahili chenyu Cha kisukuma kulee.
Kalb hayawan!
 
Kumbe lugha ya malkia, sasa wewe Jaluo na malkia wapi na wapi? hiki ndio kihere here sasa
 
Sawa Haya maneno akisema mzungu wala hakuna shida maana ni lugha yao, sio wewe mjaluo
Jaluos ni blaki ila wanashoboka na English kinoma. Kungekuwa na namna ya kubonda pua zao zifanane na wazungu wangezibonda.
 
Kumbe lugha ya malkia, sasa wewe Jaluo na malkia wapi na wapi? hiki ndio kihere here sasa
Jaluos ni blaki ila wanashoboka na English kinoma. Kungekuwa na namna ya kubonda pua zao zifanane na wazungu wangezibonda.
Sasa hapa mkiwatusi wajaluo simnawabagua hadi watanzania wenzenu? Au hamjui kwamba kuna watanzania wengi ambao ni wajaluo?
 
Huwezi msikia mjaluo wa Tanzania anaangaika na lugha ya wazungu, ila hao wa Kenya wana uchungu na lugha ya wazungu kuliko wazungu wenyewe
Wajaluo wa Kenya kama kina nani? Hebu wataje hata watano tu kwa majina. Alafu usimtaje mleta mada, huyo ni wa Nyumba ya Múmbi, sio mjaluo.
 
Wajaluo wote wakenya hakuna haja ya kutaja majina ni wote, wamejipa kazi kulinda lugha isiyo yao ya kiingereza
 
Upuuzi mtupu. Wajaluo, wakenya kwa watanzania, huwa wanajivunia sana lugha yao na tamaduni zao, kabla ya vyote vingine vya kigeni. Alafu ikija kwenye mziki sasa ndio usiseme, ohangla na benga zao kwao ndio kila kitu.

Naona unajaribu kujitetea kwa kuwataja wajaluo wa Kenya. Jambo ambalo hukukumbuka kufanya, ulipokuwa unawadharau na kuwadhalilisha wajaluo wote kwa ujumla. Hadi nilipokueleza kwamba kuna wajaluo ambao ni watanzania.

Ukabila ni ukabila tu, iwe ni dhidi ya wakenya au watanzania wenzako. Hao wajaluo ambao unadhani unawadhalilisha, kwa haya matusi yako ya peni mbili. Nawajua mimi kama watu makini sana na walioelimika.

Tena nakiri kabisa kwamba asilimia kubwa ya wajaluo. Hata wa kule vijijini Musoma na kwingineko, wamekuzidi mbali sana kimaarifa na kimaisha. Sio kwa hizi pumba ambazo unazitupia humu.
 
Acha utoto wewe nani asie jua kuwa Mara kuna wajaluo? hata siku moja mjaluo wa Tanzania hawezi toka mishipa kutetea lugha ya mzungu wakati wenyewe wapo, huo upuuzi unapatikana kwa wajuluo wa huko Kenya na malimbukeni wengine wa huko huko Kenya
 
Nyie Watanganyika na Wajaluo/Kikuyu East Africa nchi inayojua na kuelewa Kizungu ni Uganda peke yake

Kenya na Tanzania zina rating sawa ya Anglophone-Countries

Africa ni Nigeria peke ake ameondolewa rasmi kwenye IELTS

Kenya kama Inzi tu akiacha uninga atatengeneza asali
 
Yeye mwenyewe alikua vizuri kingereza, nahisi ni uzembe wao tu, unajua walivyo.
Uchaguz huo wakati wa kufungiwa ndani...
Maana lazima mtanyukans

Ova
 
Mnapaswa mjifunze kutoka kwa Wakenya ili kuepukana na huo umaskini wenu, tumefaulu kubadilisha vyama kadhaa sasa tangu tulipopata uhuru, ila nyie ujamaa umewalemaza akili mnafugwa kwenye zizi moja kama mifugo, hamjawahi kuthubutu kubadilisha chama kimoja tangu uhuru.

1659996882731.jpeg
 
Back
Top Bottom