OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Usiwapangie, HELA ATOE GSM wewe ''mwasibu wa mchongo'' ikuume!Mechi ya Yanga na Mamelod imenikumbusha mchezo wa rede ambao huwa hauna viingilio. Imenikumbusha pia disco ambazo viingilio huwa bure kwa wanadada warembo.
Hili jambo viongozi na mashabiki wa Yanga waliangalie. Waache kuwafanyia mashabiki dhihaka ya kuwalipia viingilio kama wanakuja kutazama rede.
Dogo hili SUALA LA KULIPIWA NI BAYA SANA. USIPENDE KULIPIWA. NDO MAANA MNAVULIWA UBINGWA. MIMI MWANAYANGA AMBAYE NITAJILIPIA SABABU NAIPENDA TEAM YANGU.Usiwapangie, HELA ATOE GSM wewe ''mwasibu wa mchongo'' ikuume!
sawa chizi, ila kwani ndio walisema wanalipia watu wote? si kuna madaraja mengine watu wanalipia mkuuDogo hili SUALA LA KULIPIWA NI BAYA SANA. USIPENDE KULIPIWA. NDO MAANA MNAVULIWA UBINGWA. MIMI MWANAYANGA AMBAYE NITAJILIPIA SABABU NAIPENDA TEAM YANGU.
AahaaaaMechi ya Yanga na Mamelod imenikumbusha mchezo wa rede ambao huwa hauna viingilio. Imenikumbusha pia disco ambazo viingilio huwa bure kwa wanadada warembo.
Hili jambo viongozi na mashabiki wa Yanga waliangalie. Waache kuwafanyia mashabiki dhihaka ya kuwalipia viingilio kama wanakuja kutazama rede.
NDO MIMI NITAJILIPIA. MIMI MWANAUME. HAO GSM WAARABU WANAWALIPIA HATARI SANA. MSIPENDE KULIPIWA VIJANA NDO MAANA MNALEGEA LEGEA SANA.sawa chizi, ila kwani ndio walisema wanalipia watu wote? si kuna madaraja mengine watu wanalipia mkuu
wanaolipa walipe, wasioweza kulipa wasilipe
GEMU YENYEWE MI NAICHEKIA KWA TV, Wahusika wamekusikia mkuuNDO MIMI NITAJILIPIA. MIMI MWANAUME. HAO GSM WAARABU WANAWALIPIA HATARI SANA. MSIPENDE KULIPIWA VIJANA NDO MAANA MNALEGEA LEGEA SANA.
TWENDE UWANJANI. SISI YANGA HUWA NI WABAHILI SANA NA WATU HAWAENDI UWANJANI MPAKA WALIPIWE..... NI UMASKINI NA USHAMBA.GEMU YENYEWE MI NAICHEKIA KWA TV, Wahusika wamekusikia mkuu
MUDA DAY = MUDADAY sielewi viongozi wa ๐ธ๐ธ wanaujasiri gani wa kuwapa sifa ya UDADA mashabiki wao ๐๐Hili jambo viongozi na mashabiki wa Yanga waliangalie. Waache kuwafanyia mashabiki dhihaka ya kuwalipia viingilio kama wanakuja kutazama rede.
Labani og unaitwa huku we dogo pangu pakavu tia mchuzi ๐ธ๐ธYanga ni aina ya msanii mdogo ambaye hana uhakika na mashabiki wake
sawaTWENDE UWANJANI. SISI YANGA HUWA NI WABAHILI SANA NA WATU HAWAENDI UWANJANI MPAKA WALIPIWE..... NI UMASKINI NA USHAMBA.
Kwahiyo inaonekana washabiki wa Simba ndio wapenda bure zaidi maana ndio wanakimbilia kuangalia sababu ni bure.Ngoja tuiweke katika mfano huu.
Wasanii wawili wanafanya shoo siku mbili tofauti.
Msanii mmoja ni mkubwa na mwingine ni mdogo anajitafuta.
Huyu msanii mkubwa katika hali tu ya kutazamia na kile ambacho ni rahisi kufikiri kutokana na ukubwa wake basi msanii huyu anategemewa kuwa na shoo yenye gharama kubwa sana.
Kwa gharama hizo kubwa kuanzia za kimaandalizi hadi mikakati basi msanii huyo hawezi kuwa na dau dogo la kiingilio kuliko msanii mdogo.
Msanii mdogo huyu shoo yake ipo low key utakuta mara nyingi kulingana na fanbase yake kuwa ndogo unakuta kiingilio ni bia.
Na hiyo bia sio hizi aina ya Hennesy ni hizi Sungura ambazo ni 1,500 na sometimes ili kuwafanya watu walau waingie unakuta host wa shoo anatangaza mademu kiingilio ni bure ili kuwavuta men.
Yanga ni aina ya msanii mdogo ambaye hana uhakika na mashabiki wake, wamefanya hivyo kwenye mechi ya Medeama na bado kulikuwa na muitikio hafifu wa watu kwenda uwanjani.
Na mind you, hiyo jumamosi lucha ya kwamba kiingilio ni bure ila usikute Yanga wwenyewe wakawa wakuhesabika na sehemu kubwa ya uwanja ikajazwa na mashabiki wa Simba.