King'asti , leo umentisha ! Mbona umekuja fasta sana?
Ni kama hicho laptop/mob/comptr , utumiayo jina lako likiwa mentioned inakupa alarm/ alert !
Nway umesomeka vema!
Ukweli unauma, wahenga walisema, wambie wafanye vice versa ili tuwe tunalipa halafu tuwaingize bure!
Huu ndio ukweli live bila chenga.Washawasha kwa comment hii inasogeza kuamini kua hii ndy main reason.
Karibu chimbo jipya club fusion ama lenana hotel