Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,720
Aiseee kingereza za kikwete aisee........enewei hakufaa kuongea kiingereza ambacho hakijui hakukuwa na haja ya kulazimisha kuongea lugha asioiweza.......maana jana kajitahidi kajitahidi saana ila wapi.....unaweza kusema maswali alikuwa anayakwepa lakini sio hivyo..ila hakuwa anajua ajibuje.......