Kiinglish cha Kanumba

Kiinglish cha Kanumba

Rungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2007
Posts
3,932
Reaction score
1,726
Kanumba Steve

THEY ARE VERRY STRONG AND POWERFULL,THEY CONTROL D WORLD THE WAY THEY WANT,THEY R THE PRINCE OF THE WORLD...DO U KNW WHO R THEY?DNT MISS MY NEW MOVIE...''DEVIL KINGDOM''

Ivi huyu Kanumba akiandika kwa kiswahili atakua amekosa nini?

Kanumba Steve

THEY ARE VERRY STRONG AND POWERFULL,THEY CONTROL D WORLD THE WAY THEY WANT,THEY R THE PRINCE OF THE WORLD...DO U KNW WHO R THEY?DNT MISS MY NEW MOVIE...''DEVIL KINGDOM''

Halafu huko ndani movie nzima watakuwa wakiongea kiswahili na broken english kidogo, pamoja na kuwa na jina la kizungu,

hata mimi nimeliona bandiko lake fb. Nimecheka mpaka jrani yangu akashangaa ikbd nimpe aone bas ikawa gumzo. Watu wameponda sana. Ni ulimbukeni wa kanumba. Haina hata haja ya kuwatch hyo movie maana madhaifu yameshaanza kujionesha

na ndugu yake ray! Cjui ni kwa nn wavivu angalau kwenda kusomea hyo kazi yao, yaani hawajui! Wajifunze hata kwa JB

Ndio njia yakujifunza huwezi kujifunza bila kukoseja

Wanashindwa hata kupitisha kwa watu wanaofaham hicho kidhungu wakawasaidia? Ikiwa ni pamoja na kuandika script nzima then wakafanyia wazoezi??

Hivi wanakuwa hawajui kweli au wanaigiza?
Kwa sababu kuna kwenye movie nyngne wanaongea vzuri

Kumbukeni wao ni wasanii! Wanaweza kuandika watakavyo kuvuta attention ya watu! Tuache majungu kwa vitu vidogo

mkuu kwani hawa watu hawana director au consultant ili aweze ku-edit issue kama hizi kabla hazijafika kwa public???????????????????

na ndugu yake ray! Cjui ni kwa nn wavivu angalau kwenda kusomea hyo kazi yao, yaani hawajui! Wajifunze hata kwa JB

Hawa wenzetu sijui kwanini hawaambiliki.Tumeshalijadili mno hili swala......

Nani awaambie wasikie? Washauriwe wajikite kwenye lugha waliyoizoea kuwasilisha ujumbe wanaotaka kuuwasilisha kwa jamii.
Inaeleweka kwamba kisa cha kung'ang'ania lugha ya "malkia' nikuingia soko la kimataifa.Wajue hakuna njia za mkato. Ama piga shule kieleweke, au tumia properly construed sentences kwenye scripts/subtitles.

You cant teach an old monkey new tricks. Tatizo kubwa pia hatuna play script writers wazuri.Just wondering Dar university hawana kitengo cha performing arts?

Just wondering Dar university hawana kitengo cha performing arts?

Kipo ila industry haipo tayari kuwatumia wataalam wasomi kwa kuwa ni ghali sana, hata hao wataalam hawawezi kufanya kazi na wasanii wengi professionalism imepita kushoto.

Sio makosa yetu ni makosa ya mfumo.

Dah! lakini kaimprove kweli aisee,
zamani sentensi moja ilikuwa mgogoro.

Na akomae tu hivyo hivyo na achukulie ukosoaji wa watu kama changamoto ya kutaka kujifunza zaidi. Binafsi namsifu kwa kuwa na ujasiri wa hata kuthubutu kuandika hayo anayoyaandika.

Na akomae tu hivyo hivyo na achukulie ukosoaji wa watu kama changamoto ya kutaka kujifunza zaidi. Binafsi namsifu kwa kuwa na ujasiri wa hata kuthubutu kuandika hayo anayoyaandika.

Nadhani watu wangeitazama hii kwa mtazamo huu hata thread ingekuwa na maana lakini hapa ni udaku tu, Kanumba ni fighter na hili la lugha ataliweza tu ukilinganisha alivyoweza mengine magumu zaidi.

Back
Top Bottom