KIINI CHA KUFUNGWA SHULE YA SEKONDARI KIBITI (Vurugu zenye mlengo wa kidini)

KIINI CHA KUFUNGWA SHULE YA SEKONDARI KIBITI (Vurugu zenye mlengo wa kidini)

.....kwanza wakati wanafunzi wanatenganisha mabweni ya waislamu na dini nyingine, wanatenganisha matenki na dini nyingine walimu na uongozi wa shule ulikuwa wapi? Hapo
Halafu wakati wakijifunza karete hapo walimu walikuwa wapi?

Kuna udhaifu mkubwa na upande wa walimu pia.......




Mkuu kumbuka kuna hata waalimu ambao ni waasis wa hii kitu na wanaishabikia sana na hata hivyo wengine ndo walezi wa hizo jumuia za kidini mashuleni..Nakumbuka wakt nikiwa high school jamaa walikua hadi wanaiba vitabu vya wanafunzi wakristo na kupeleka huko masjid sabab wanajua tusingeweza kuingia huko..
Walikua hawaeindi darasan wanakaa huko huko msjid sabab wanajua waalimu wengi hawataweza kuingia na kuwatoa huko masjid so these guys bwana wana matatizo mengi sana ya kiuelewa..Mungu awasamehe tu coz ni uwezo mdogo wa kufikiri ndo tatzo lao
 
Duh mimi nilijua kawaida maana Hata Ilboru Secondary mpaka namaliza Form 6 2009 niliacha na nilikuta Kisima na Vyoo special vya waislamu pale nyuma ya Rum 7 waliopita ilboru wanajua! Yaan unajua segregation kwa itikadi ya kidini ipo sana tu mashuleni lakin utawala unapotezea mpaka kikinuka ndio wanajfanya ku react!
tena hata msuli wanapigia msikitini..yani maswali yakiwatoa wanakuja tulipojichanganya rooms...ni ubinafsi tu kumbe..watu tuko rooms tunadiscuss wao wako mosque wanasoma wenyewe..mi niliichukulia poa ila kumbe ni ubaguzi tu.Mi nilikua room 6 pale mkuu sema nilimaliza nyuma yako sana form 6....
 
Mbona ndiokwanza harakati zinaanza wcristo mnaanza kujamba baada ya kuchoma makanisa sasa tuna kuja na mziki wa bokoharam mpaka tuna komboa nchiyetu tuliyo mkabidhi baba yenu nyerere kwahiyo napenda niwaambie kwamba dhulma ime fika mwisho

unataka TZ iwe nchi ya kiislamu??hivi hujajifunza na kuona nchi zote za kiislam wanauana huko wenyewe kwa wenyewe?/nakushauri uache uzinifu/wizi if kama unataka taifa la kiislam na sio unafata mkumbo mana ukikamatwa unazini ukichimbiwa chini watu wakupige vitofa au kukatwa mkono usije sema wewe ni Petro bana ...kila la kheri katika harakati zenu.
 
Waislam wengi shule haipandi kwa kuwa pia wanatumia muda wao mwingi kujadili mambo ya kipumbavu ambayo hayawasaidii kabisa katika maisha yao!! Tulisoma nao miaka hiyo na tunawajua sana!!! Waliokataaa kuwafuata wenzao wako safi na elimu nzuri sana na maisha supper!!!! Wanapenda sana kujitenga na kusalia misikitini wakati uwezo wao ni mdogo!!! Nakumbuka UDSM somo la Account kuna lecturer mwislam walikuwa anawapa paper wanafanyia masjid na wakifika mtihani hawana lolote, wanaishia karai tu!!! Hamna lolote!!! Wakristo stay culm. Akili fupi inafikiria mambo mafupi na majawabu ni mafupi pia!!!
 
Hapa tulipofika ni hatari sana!

Hii inanikumbusha mwanzoni wa miaka ya 2000 nikiwa pale Kigoma High School, Vijana wa Kiislamu walihamasishwa na washeikh wao kutoka ujiji wasifanye mtihani wa taifa, kisa bwalo lililokua linatumika kufanyia mitihani kuna alama ya msalaba kwa mbele, something which was not true!

Ndugu waislamu wahamasishe vijana wao kusoma kwa bidii na kuacha vurugu ambazo zinahatarisha future yao. Changamoto kuu inayotukabili watanzania sio mfumo islam au kristo! Ni jinsi tutakavyoweza kutumia rasilimali zetu nying tulizojaliwa na Muumba kujiletea maendeleo.

Wanaotugawa kwa misingi ya kidini, wao wanashirikiana bila kujali dini zao kufanya ufisadi.Fikiria mathalani, wizara fulani waziri ni muislamu na katibu mkuu mkristo. Wanapanga dili za kifisadi, wanafanikiwa, wanakaa kwenye viti virefu mida ya jioni wakipongezana pamoja na familia zao! udini aupo hapo.

Sisi watu wa maisha ya chini ndio tupo bize kubaguana! tuache hizo na tufanye kazi kwa bidii.
 
Shule hii ni ya A level, inakusanya wanafunzi kutoka sehemu mbalimbali za nchi hii. Kadhalika ina walimu kutoka sehemu mbalimbali. Ila kuna mwalimu katika majina yake kuna herufi hizi NJL should be watched more than once with an extra eye.

Iko katika Bonde la Mto Rufiji na niliwahi kunong'onezwa kwamba ilijengwa na wa-Israeli (wayahudi) miaka hiyo tulipokuwa na ushirikiano nao.

Hapo kwenye Red...shule zifuatazo zilijengwa kwa msaada kutoka CUBA nazo ni
1.kibit
2.kilosa
3.Ifakara(machip)
4.RUVU
na style ya majengo ya shule hizo imefanana
 
Mkuu wa nchi tulie nae hakupaswa kamwe kuwa kiongozi aliezidi ngazi ya wilaya, sasa madhara ya kumpa nchi dhaifu misingi yote ya mshikamano wa taifa hili ulioasisiwa na waasisi wa taifa yamekanyagwa. Hivi bado miaka mingapi huyu jamaa aondoke ikulu?
.
 
Mbona ndiokwanza harakati zinaanza wcristo mnaanza kujamba baada ya kuchoma makanisa sasa tuna kuja na mziki wa bokoharam mpaka tuna komboa nchiyetu tuliyo mkabidhi baba yenu nyerere kwahiyo napenda niwaambie kwamba dhulma ime fika mwisho

Utapiamlo wa ubongo,bangi za chooni,malezi mabaya ya wazazi,umaskini wa mawazo,pepo mchafu,mlundikano wa majini mwilini....vina madhara makubwa kwa binadamu
 
jaman hali hyo ni tete. Hapo cha msingi ni serikali kutoa tamko kali na wanafunzi hao wachukuliwe hatua zinazostahili baada ya uchunguz yakinifu kufanyika ili kuondoa uonevu unaoweza kujitokeza.
 
MUNGU na awape ufahamu ndugu zangu waislamu. Mbna wanatekwa kimawazo na watu wachache kwa urahisi hivi? Yaani matukio wanayoendelea kuyafanya ni ya aibu kwa akili zao kwani wanajidhalilisha sana?
Their main problem, they don't know their true enemy.
 
Labda Wizara ya Elimu ingeanzisha somo/mtihani wa KARATE. Watahiniwa wawe wanavunja vitofali kwa mikono/vichwa pamoja mambo mengine ya karate. Hii inaweza kuinua ufaulu kwa kiasi kikubwa kwa wanafunzi wa kiislam maana inaonekana wengi wao wana mwamko na haya mambo ya mapigano. Hii itapelekea vilevile kupunguza malalamiko ya NECTA kuwafelisha Waislam.
 
"Hao siyo Waislam. Ni genge la Wahuni Wachache".
Hayo ndiyo majibu utakauoyasikia kutoka kwa viongozi wao wanaowatuma. Ukweli ni kwamba ninui Waislam pigeni shule acheni hizo tabia za kigaidi.

Amini Amini nawambia; Wakristo wana skili sana. Hawajibu mapigo kwa kuongea ongea wala kupiga matakbiri kama tunayopiga sisi. Wenyewe wako kimya kimya lkn wanendesha serikali za dunia hii. Jamani tule shule njia zetu za kudai haki ziko rudimentally and mechanical mno. Abgalieni hata kule Gaza wenzetu HAMASI wa.apiga makelele kama haya ya kwetu lkn Wayahudi kimya kimya wanatukamua damu na roho.

Angalieni hapa Tz kwa sasa. Ponda na mwenzie mandevu wamo wapi?

Wewe kafiri sio isilam....LOL:confused2:
 
..kama kweli polisi wanataka kufuatilia hilo hao wanafunzi wabanwe huko.walikokuwa kwenye kikao na kupandikizwa mbegu za vurugu, huo utakuwa mwanzo mzuri wa kuwakamata wahusika.....hayo ni kama tu kweli serikali ya ccm ipo serious na kukata mbegu yake iloipanda.............

Kuna kitu cha kufanya hapa;
[1].utaraibu wa kuwapeleka wanafunzi kwenda kusoma maeneo mengine,ili kujua mila na aina ya maisha ya mila na makabila mengine,itasaidia kuleta kuheshimiana na kuvumiliana.
[2].Kuna "hidden agenda",na sema Serikali inapuuza yanayoaendelea,kwa kumuogopa mtawala,naye mtawala anafumbia macho taarifa za kiintelejensia.huwa matukio yanaanza polepole,baadae kuyadhibiti inakuwa tatizo kubwa.!!!!
[3].Kuna mahali yanapotokea,na kufadhiliwa sasa sijui kwanini hakuna hata mkakati wa kulinda mustakabali wa taifa.Ni dhahiri kuna uzembe kwa ngazi ya Usalama wa Taifa,na vyombo vya usalama.!!!!!!
 
tena hata msuli wanapigia msikitini..yani maswali yakiwatoa wanakuja tulipojichanganya rooms...ni ubinafsi tu kumbe..watu tuko rooms tunadiscuss wao wako mosque wanasoma wenyewe..mi niliichukulia poa ila kumbe ni ubaguzi tu.Mi nilikua room 6 pale mkuu sema nilimaliza nyuma yako sana form 6....

Hahaha basi uliyooocha ndio hayohayo tuliyoyakuta wadogo zako kaka na bado tukayaacha, me nilikaa rum 4 lakini kijiwe rum 7 kwa washkaji, kuna siku nakumbuka hapo hatujui kama kuna vile vyoo vya waislamu jamaa yetu mmoja mkristo aliingia kukata gogo ile yupo katikati shughulini jamaa wakaja kama 7 hiv mlangoni wakagonga mlango kwa jazba jamaa akafungua akauliza vipi kunani? Wakamwambia hv vyoo wakristo marufuku jamaa akabishana nao sana maana alikua anatoka Iyunga Tech halaf Iyunga hizo mambo hakuwah kusikia! Bac mwisho wa cku wakamnyanyua jamaa akaomba bac walau aondoke hata na maji yake akakate kwenye vile vyoo vya Bweni la Kibo maana maji yalikua hayatoki halaf jamaa anaharisha jamaa wakatoa ndoo yake na maji yake wakamwaga wakampa ndoo tupu et kwa kuwa alichota kwenye kisima chao! Bac jamaa ikabd ashuke mtoni, hamna aliyelalamika lakin ingekua upande wa pili wa shillingi cjui....!
Samahan kwa mifano hii hii ya Ilboru wakuu lakin hapo ndipo nilipoexperience muslim bizzare violent behaviour, cku 1 waligoma kuingia class wakaenda hadi kwa Headmaster enzi hizo Mr.Kwayu yule aliekuwa wa Azania madai yao eti dinning hall kuna msalaba ukutani wanataka uondolewe, cha ajabu huo msalaba wa dinning cyo kwamba umetundikwa bali uko juu sana na umejengewa ukutani like kuna matofali matano yametokeza nje kdogo yakafunikwa na cement yaan inakubidi uwe mmbeya sana au mtu uliekosa kazi mpaka uje ku unotice, bac jamaa walipokosa jibu wakaja dinning zkaanza harakat za kupanda wauondoe sasa kwa kuwa palikuwa ni parefu sana zoez la kutafuta ngazi likaanza ikabd atafutwe prefect wa Stoo atoe ngazi, hyo ilikuwa saa 1 ucku, Prefect akakataa coz alisema cyo muda wa kazi hawez fungua stoo bac jamaa zangu wale wakasema kwa kuwa prefect ni Mkristo ndio maana aliwakwamisha! Ucku ule wakamwagia maji godoro lake fujo zikaanza bweni la oldonyo watu walipigana magodoro yalichomwa kibo hostel wakaja polisi kukatulia!
My take: Shule 2liiomba kwa waluteri wakatupa so huwez kukosa remnants za wakristo shuleni, wewe soma uondoke au unafelishwa na msalaba?, KKKT nao mwisho wa cku watachukua chao kama RC walivyopoka Forodhani!...unalalamikia MFUMO KRISTO kwa design hii eti ukristo cjui mambo ya kikristo yapo kila mahala iz nonsense coz thatz the way it iz maana waliotuletea sisi dini walituletea pamoja na Elimu(mashule) kama Ilboru, Ndanda na nyngine Kibao tu, Waarabu wao hata cjui walileta nin dah hadi huruma, na hata wangeleta shule zao zina crescent cdhani wakristo wangeleta chokochoko eti crescent iondolewe ili iwe vp sasa wakat shule ya kiarabu!
 
Askari wa miguu, nashukuru kwa kuendelea kutupa matatizo ya vijana wa kiislamu katika mashule yetu.

Kibiti Sec ni zaidi ya hali hiyo. Kuna rekodi ya wsnafunzi wa kiislamu kwenda kuvunja misalaba iliyokuwepo ndani ya ofisi ya TYCS. Wana-TYCS na wakristo wengine hawaku-react kivile.

Jumanne 13/11/2012, kuna Biblia ilichanwa na wanafunzi ws kiislamu vipande vipande na kuitupa chini ili wakristo wachukie na kuanza vurugu lakini hali ilikuwa ni tofauti. Vice HP ndiye aliyeyaokota/aliyeyakusanya makaratasi na kuyawsdilisha kunako. Mwalimu wa zamu analijua hilo, mwalimu mlezi wa KIMSYA analijua, walimu wengine pia wanalijua.
 
tena hata msuli wanapigia msikitini..yani maswali yakiwatoa wanakuja tulipojichanganya rooms...ni ubinafsi tu kumbe..watu tuko rooms tunadiscuss wao wako mosque wanasoma wenyewe..mi niliichukulia poa ila kumbe ni ubaguzi tu.Mi nilikua room 6 pale mkuu sema nilimaliza nyuma yako sana form 6....

teh teh teh ....thats why hata taaluma yao imekaa kimsikiti msikiti tu yaani huwa ni ma looser, ma failure halafu misikitini wanadiscus u mburura mtupu, paper ikija "FAILURE" halafu utawasikia oo Baraza linawapendelea wakristo! WABINAFSI WAKUBWA HAWA!
 
unataka TZ iwe nchi ya kiislamu??hivi hujajifunza na kuona nchi zote za kiislam wanauana huko wenyewe kwa wenyewe?/nakushauri uache uzinifu/wizi if kama unataka taifa la kiislam na sio unafata mkumbo mana ukikamatwa unazini ukichimbiwa chini watu wakupige vitofa au kukatwa mkono usije sema wewe ni Petro bana ...kila la kheri katika harakati zenu.

Kaka umemjibu ki uungwana sana huyu mwehu, tatizo hawezi akakuelewa kwa sababu anasikia kwa k utumia Makucha na kufikiri kwa kutumia makario. cha kufanya mwache mbulula awataarifu ma mbulula wenzake muda wa kwenda kujiripua ili wakaitawala Tanzania yao ya jehanamu, na mungu wao na baba yao SHETANI!
 
Htua kali za kisheria zinatakiwa zichululiwe juu yao ili iwe fundisho,kulealea mambo kama haya,mizizi ikikomaa tutakuja kuwa kama Rwanda na Burudi,alafu hawa watu wapende kusoma cus sometym wanakuwa na madai ya kijinga eti ooh kwann wakristo wanaongoza darasan.Cha msingi ni elimu itolewe zaidi maana hata ukisoma historia,walikuwa wanapinga swala la uhuru wa Tanganyika so ukiangalia kwa umakini utagundua tatizo ni ukosefu wa elimu ya kutosha kuhusu mazingira yanayowazunguka(elimu Dunia)
 
Utapiamlo wa ubongo,bangi za chooni,malezi mabaya ya wazazi,umaskini wa mawazo,pepo mchafu,mlundikano wa majini mwilini....vina madhara makubwa kwa binadamu

daah! Umepatia sana mkuu! Pia jamaa anafikiri kwa kutumia makalio kwani ubongo wake ni mixer usaha na makohozi yenye TB tupu!!
 
Back
Top Bottom