matungusha
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 594
- 126
.....kwanza wakati wanafunzi wanatenganisha mabweni ya waislamu na dini nyingine, wanatenganisha matenki na dini nyingine walimu na uongozi wa shule ulikuwa wapi? Hapo
Halafu wakati wakijifunza karete hapo walimu walikuwa wapi?
Kuna udhaifu mkubwa na upande wa walimu pia.......
Mkuu kumbuka kuna hata waalimu ambao ni waasis wa hii kitu na wanaishabikia sana na hata hivyo wengine ndo walezi wa hizo jumuia za kidini mashuleni..Nakumbuka wakt nikiwa high school jamaa walikua hadi wanaiba vitabu vya wanafunzi wakristo na kupeleka huko masjid sabab wanajua tusingeweza kuingia huko..
Walikua hawaeindi darasan wanakaa huko huko msjid sabab wanajua waalimu wengi hawataweza kuingia na kuwatoa huko masjid so these guys bwana wana matatizo mengi sana ya kiuelewa..Mungu awasamehe tu coz ni uwezo mdogo wa kufikiri ndo tatzo lao