Kiini cha mahusiano ya CIA na Vatican


Nilidhani utaniambia Rais Kennedy alikiwa dini gani, ni katika kujifunza tu lakini, inawezekana kweli Dini yake ndio ilikuwa chanzo cha yeye kuawa?

Funguka kaka
 
Nilidhani utaniambia Rais Kennedy alikiwa dini gani, ni katika kujifunza tu lakini, inawezekana kweli Dini yake ndio ilikuwa chanzo cha yeye kuawa?

Funguka kaka
Mkuuu ,shortly niivi ,,JF Kennedy ndio rais PEKEE mkatolik kutokea marekan. ( km sijakosea ).

Mbali na ukatolik huo ,,JF Kennedy alikataa katakata kuongozwa na CIA ambayo kiuhalisia ni Vatican ... Nahii ndio ilomfanya Jamaa awe anatoa speech zaina Fulani ivi kuwaponda CIA na Upapa.

Sasa mpaka Leo ,,CIA wameshindwa kutoa nyaraka ambazo walitumia mabilion ya dollar kuzikusanya.


Donald Trump ,huyu wasasa sio mkatolik na hakubaliani nao kama ukifuatilia speech zake tangu kwenye kampeni...nandio maana Trump anatafutiwa kila njia atolewe madarakan maana washikaji wanamuitaji Pence kua Rais Wa nchi,, that's y unaona video mbalimbali zinatolewa zikionyesha Trump anafanyiwa assassination n.k .

J.F Kennedy na Trump wanafanya sana ktk mambo mengi hususan ktk tambulisho nyingi za siri.
 

Ok, kumbe ndio Rais Pekee aliyekuwa Mkatoliki na aliuliwa na Wakatoliki wenzie, asante kwa Elimu mpya kwangu
 
Ok, kumbe ndio Rais Pekee aliyekuwa Mkatoliki na aliuliwa na Wakatoliki wenzie, asante kwa Elimu mpya kwangu
Unashangaaa tena nn hapo mkuu!!.

Mbn papa X aliuliwa nahao hao katolik????? .mbn papa Y alilazimishwa kujiuzulu nahapo hao katolik ??

Mkuuu embu fatilia vitu ..somaaa somaaa mambo mbalibali unganisha utapata maarifa yakujua namna gani tunaishi ktk dunia ambayo kalenda yamatukio imepangwa.

Anyway ,,ya Mungu tuachie Mungu nakaisar tumpe kaisar..dunia inamambo mengi sana mkuuu mwenyewe hata theluth yake nbado sijui.
 

Asante kaka kwa habari zako za vijiweni za kuunga unga hapa na kule?, hivi nilipokuwa nakuuliza na kukusisitiza uniambie Dini ya Kennedy ulikiwa unajua kweli sifahamu?, kijana jitahidi kusoma pande zote acha mambo ya kijiweni
USA na Catholic wapi na wapi?
 
NDO MAANA KUTOKUWEPO KWA CATHOLIC CUBA NA KOREA KASIKAN ,KUMEFANYA KAZI YA CIA KUWA NGUMU !!!.

NDIO MAANA MAHALI AMBAPO HAMNA CATHOLIC POPOTE PALE LAZIMA MAREKAN AMUONE NI ADUI .

REFERS... CHINA,,,CUBA,,,IRAN,,,,N.KOREA,,RUSSIA. N.K
these are pure lies there are alot of catholics in China,same as in Russia wapo wa kutosha tu, kwa N.K ur right ,for Iran and Cuba i dont know.
 
the problem of most people especially in Tanzania whatever conspiracy they find in the internet to them its a fact enough to use as a reference even in serious arguments.
People make money through these websites ,they compose a well formulated story that will please people like you.Just the matter of wewe kutoa hio reference na sisi tukasome ni success kwa hizo websites.
 
these are pure lies there are alot of catholics in China,same as in Russia wapo wa kutosha tu, kwa N.K ur right ,for Iran and Cuba i dont know.

Huyo Vladimirovich Putin , ni mtu wa story za vijiweni na website zilizojaa hoax tu, hakuna anachokijua kuhusu Kanisa Katoliki wala American History
 
Huyo Vladimirovich Putin , ni mtu wa story za vijiweni na website zilizojaa hoax tu, hakuna anachokijua kuhusu Kanisa Katoliki wala American History
brother mi sio mkatoliki but siwezi kuokota tuu whatever is written in the internet kuhusu ukatoliki na kuuleta hapa bcoz most of those websites authors wake ni very creative they are doing bussines kama ma novelist wengine tuu but ukiwa dull enough kuamini everything you read in the internet then its a fact hujaelimika
what ur saying ni ukweli most of them ni full of hoax...
 
Hahahahaha!!!! Yaani wasabato mtatapatapa mpaka mwisho wenu
 


Dini za wazungu koko zitawamaliza kabisa.

Hakuna cha Kanisa wala msikiti au hekalu watu wanafanya biashara na siasa kupitia majina ya vitabu vilivyoitwa eti vitakatifu.

Papa hakuna cha moshi mweupe wala wa blue ule ni usaniii wa kiwango cha juu sana.


Mbona, Papa hajawahi kutoka Africa tangia karne zote hizo za RC church kuwepo duniani ina maana Mungu wa RC church hawajui au hawezi kuwachagua black popes from Africa?

Unajua ni kwa nini Papa anaishi Vatican city - Italy na siyo nchi yoyote yenye kanisa la RC,?

Au kwa nini Vatican city iwe makao makuu ya RC church na siyo Israel anaposadikiwa kuzaliwa Yesu!?


Any way, religion is the opium of the people.
 
Acha kupotosha ndugu hakuna mahali katika hii dunia catholiki haipo ipo kila mahali labda uniambie ushawishi wao ni mdogo

Leo ndiyo inaanza kuwa unavyoona wewe acha kuita wenzio kuwa ni waongo.

RC church haijawahi kuwa dunia nzima kabla ya karne ya 19.
 
comrade igwe ,

Umeandika Uzi mzuri sana ila wafia dini za wazungu koko hawatakuelewa.

Mfano, mdogo sana hadi kesho kama watu wanatakiwa kuelewa jambo na siri iliyopo kati ya CIA na Vatican city/ Pope angalieni na kufanya analysis wakati wa hizi chaguzi mbili.

Vatican city na Pope wanaweweseka sana wakati USA ikiwa inafanya uchaguzi wa Rais.


Pia, na USA / CIA inakuwa vivyo hivyo ni full kiwewe wakati wa kumpachika mtu wao pale Vatican city.

Naelewa hata hii hali ya kuweweseka aidha Vatican city/ Pope na USA/ CIA pana watu watapinga ila fatilieni mtaona na kuelewa..
 
Kajifunze lugha za watu kwanza

"Religion is the opium of people"



Wewe kwa leo nimekusamehe...huu uharo ulioandika nitaupita kama sijauona


Lugha na hayo maneno ni ya Karl Marx. Kama hutaki acha.


Ila dini ni ujuha na kupoteza muda zaidi, kutajirisha watu wachache huku wengi wakibakia kuimba na kurukaruka. Huku wakiwa maskini wa mwisho.

Any way, kama wewe ni mfaidika kwenye dini za wazungu koko Lazima utawatetea tu.
 
Gusa hapa Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Gusa hapa Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…