mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Anaandika Roma mkatoliki.
Pamoja na yanayoendelea, lakini binafsi huwa napenda sana kuumiza kichwa kuhusu #Codes & #Decodes za hii nchi!!
Kuna Dots nikijaribu kuiunga inakataa!!
Inavyosemekana shida kubwa ilianza kujitokeza mwaka 2015 pale #Mpoto alipokuwa anamaliza muda wake wa kutawala.
Mpoto akataka kumpa kijiti mtu wake ili aendelee kula keki ya taifa….
IT DIDNT WORK!!
Kijiti akakichukua #Banza
Again, inasemekana Mpoto hakukubali kushindwa, akawa amebakiza karata yake moja ya mwisho……..#KIZI_M_JOB
Mpoto akachora mchoro wake, akam-set kizim-job akawa yuko kwenye box hatua 12 tayari kupiga PENALTY!!
Turudi kwa BANZA!!
Tuliona wote Banza akitamka mwenyewe kuwa yeye ndio aliona mgombea wake mwenza anafaa kuwa Kizi-mjob!!
Akamchagua✅
Dots zangu hapa ndipo zinapo-stuck,
So Mpoto alikuwa ahead of Banza?
Yani Banza hakuiona hii move kabla?
Wala hakuna mtu wa upande wa Banza aliyeiona hii akamwambia ni wrong choice?
Au ni hadithi tu za mtaani kuwa Mpoto ndio alimuweka Mama Misambano, ila ukweli sio huo!!
Pengine Banza was right kumchagua, na mama Misambano hakuwa miyeyusho at the time anachaguliwa!!
Ila tu Mpoto ndio alikuja kuingilia hii mbungi katikati na kuanza kumtumia Mama Sykes……na akawin mpaka sasa ndio ana-operate behind the scene!!
UKWELI NI UPI?