Sawasawa mkuu..hapo ndipo swali langu lilipo....kwamba.. Kwanini itumike criteria moja tu kumjudge mchezaji A aliyefunga magoli 10 (mfano) yasiyo na mvuto kuwa ndiye mfungaji bora ilhali kuna mchezaji B kafunga magoli 6 bora na yenye mvuto wa hali ya juu? Mi naona mchezaji A ni mfungaji..ila mchezaji B ndiye mfungaji bora.Tofautisha mfungaji bora, na goli bora jombaa ..
Mfungaji bora >ni idadi ya magoli mchezaji anayofunga haijalishi ameibia, amefunga na mkono n.k..
Goli bora > goli alilofunga mchezaji na likawa la kipekee baada ya kupigiwa kura.
Hapo ndipo wanasoka wanapokosea.. Ubora haupimwi kwa wingi (quantity) ubora unapimwa kwa hali (quality)..Tofautisha mfungaji bora, na goli bora jombaa ..
Mfungaji bora >ni idadi ya magoli mchezaji anayofunga haijalishi ameibia, amefunga na mkono n.k..
Goli bora > goli alilofunga mchezaji na likawa la kipekee baada ya kupigiwa kura.
Sawasawa mkuu..hapo ndipo swali langu lilipo....kwamba.. Kwanini itumike criteria moja tu kumjudge mchezaji A aliyefunga magoli 10 (mfano) yasiyo na mvuto kuwa ndiye mfungaji bora ilhali kuna mchezaji B kafunga magoli 6 bora na yenye mvuto wa hali ya juu? Mi naona mchezaji A ni mfungaji..ila mchezaji B ndiye mfungaji bora.
Na ndio maana kuna goli bora jombaa.. Huwezi kupewa kiatu eti kisa umefunga goli tatu za maajabu, itakuwa haina maana kabisa.Hapo ndipo wanasoka wanapokosea.. Ubora haupimwi kwa wingi (quantity) ubora unapimwa kwa hali (quality)..
Atupele amepewa kama mfungaji bora na hii inadhihirisha kwamba TFF wanafanya kazi kwa kukisia na si uhalisi.ninavyofahamu kuna ufungaji bora ambao wanaangalia wingi wa magoli na goli bora ambao wanaangalia goli zuri/bora/la aina ya kipekee. sasa naombeni mnijuze atupele ni mfungaji bora (kwa maana ana magoli mengi kuliko kiiza) au atupele alifunga goli zuri/bora/la aina ya kipekee wakati wa mashindano?
TFF nzima Iko likizo haijari nini kinaendelea kwenye soka bali wao akili yao iko mapene mithili ya Bendi ya kichaga Kila mtu anataka akusanye Fedha Leo wamesaini mkataba wa bilioni 2 eti tena kwa miaka mitano 5 tena kwa ligi mbili ya wanawake na vijana yaani ni mauza mauza yamezidi kwenye soka letuTFF jitokezeni mnyooshe maneno.