City Owl
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 3,475
- 7,571
Sawasawa mkuu..hapo ndipo swali langu lilipo....kwamba.. Kwanini itumike criteria moja tu kumjudge mchezaji A aliyefunga magoli 10 (mfano) yasiyo na mvuto kuwa ndiye mfungaji bora ilhali kuna mchezaji B kafunga magoli 6 bora na yenye mvuto wa hali ya juu? Mi naona mchezaji A ni mfungaji..ila mchezaji B ndiye mfungaji bora.Tofautisha mfungaji bora, na goli bora jombaa ..
Mfungaji bora >ni idadi ya magoli mchezaji anayofunga haijalishi ameibia, amefunga na mkono n.k..
Goli bora > goli alilofunga mchezaji na likawa la kipekee baada ya kupigiwa kura.