Kijaluo ni lugha moja nzuri sana

Kijaluo sio kibantu hiki n kinailotic lugha hizi zinashabihiana na zile za sudan, north uganda,some part of kenya hivo lugha hii huonekana ya ajabu hasa kwene jamiii ya kibantu kwasababu haishabihiani na lugha za makabila yote ya kibantu
 
ni kweli sio kibantu na kwa wabantu inaonekana tofauti kabisa,kama ambavyo kibantu kina oonekana tofauti kwa wasio wabantu
 
Omera machegeny..
Dho luo mit pipi
 
Chundiiii
 
Wajaluo nimekaa nao pande za mererani hawana baya
ni kweli wao ni kazi,kula ugali na nyama,na ulaji wao wa ugali huwa unanifurahisha sana,kwenye mkono anakuwa na tonge 2,moja ndio analila kwa kutoboa tundu katikati na kuweka mchuzi na la pili linakaa rizevu,na kila tonge linaenda na nyama
 
SAFI SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…