fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 6,699 Reaction score 9,323 Jun 21, 2025 Thread starter #61 Madingi ya Mbinguni said: Kuiba kura kwa kijaluo mnasemaje Click to expand... kuiba kura tena,nyathin oseketore
Madingi ya Mbinguni said: Kuiba kura kwa kijaluo mnasemaje Click to expand... kuiba kura tena,nyathin oseketore
fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 6,699 Reaction score 9,323 Jun 21, 2025 Thread starter #62 Nanye Go said: Sio wote lakini, Mimi nimesoma Sota Primary hapo Shirati, na tulikuwa tunaoga ziwani, wengi siku hizi wame tahiriwa. Click to expand... kadri muda unavyokwenda watu hubadilika,angalia wakati ule wa jaramogi odinga na sasa mambo yamebadilika
Nanye Go said: Sio wote lakini, Mimi nimesoma Sota Primary hapo Shirati, na tulikuwa tunaoga ziwani, wengi siku hizi wame tahiriwa. Click to expand... kadri muda unavyokwenda watu hubadilika,angalia wakati ule wa jaramogi odinga na sasa mambo yamebadilika
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 14,379 Reaction score 19,134 Jun 21, 2025 #63 fimboyaukwaju said: kadri muda unavyokwenda watu hubadilika,angalia wakati ule wa jaramogi odinga na sasa mambo yamebadilika Click to expand... Lakini hii ilikuwa zamani sana nilipokuwa shirati sio juzi ndio maana nikasema hivyo. Enzi za kina mwalimu Dibogo hapo Sota, tulikuwa tunaogelea darajani.
fimboyaukwaju said: kadri muda unavyokwenda watu hubadilika,angalia wakati ule wa jaramogi odinga na sasa mambo yamebadilika Click to expand... Lakini hii ilikuwa zamani sana nilipokuwa shirati sio juzi ndio maana nikasema hivyo. Enzi za kina mwalimu Dibogo hapo Sota, tulikuwa tunaogelea darajani.