Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,456
- 3,382
Aisee.Namuona The Icebreaker anatype najua ataema "Aisee"
Punguza hasira wanawatoto pia!Unajiuliza, huyu kijana anayepewa ajira kwenye Jeshi la wanamaji, Jana asingekuwepo kungetokea nini ili hali jeshi la uokozi lipo tu tangu nchi ipate Uhuru!
Kwa nini wasifukuzwe kazi kwanza hao waliokuwepo Jana na kazi ilikuwa ni yao?
Wavuvi wala hawahitaji mafunzo kwani wana ujuzi wa kutosha. Wanachohitaji ni uwezeshwaji!Itakuwa vyema kuanza kuwajengea wavuvi uwezo wa kuokoa watu endapo kukitokea ajali.
Kila mkoa utambue vyama vya wavuvi na kila mwaka wawe wanapewa mafunzo maalumu wakisaidiana na jeshi la wana maji
Kijana amewezeshwa na nani?Wafukuzwe kwa sababu ipi wakati serikali imeshindwa kuwawezesha!
...Walikuwepo Hata Mv Bukoba ilipozama Karibu na Ufukweni!Unajiuliza, huyu kijana anayepewa ajira kwenye Jeshi la wanamaji, Jana asingekuwepo kungetokea nini ili hali jeshi la uokozi lipo tu tangu nchi ipate Uhuru!
Kwa nini wasifukuzwe kazi kwanza hao waliokuwepo Jana na kazi ilikuwa ni yao?