Kijana acha kunywa pombe za bei rahisi

Kijana acha kunywa pombe za bei rahisi

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Kutokana na hali ya uchumi kuwa mgumu vijana wengi wameangukia kwenye unywaji wa pombe za bei rahisi zinazolewesha haraka kama sungura, master, jogoo nk.

Ukiwa mtumiaji wa hizi pombe huwezi kufanikiwa kimaisha, hizi pombe zinapunguza uwezo wa kufikiria Kuna wengine wanakunywa hizi pombe za kienyeji kama komoni, ulanzi, choya, mnazi hizi ndio usiguse kabisa hata kama umeenda kusalimiwa ndugu zako huko kijijini kwenu usijaribu kugusa pombe hizi.

Sababu gani? Unavyokunywa pombe za kienyeji moja kwa moja unaunganishwa kwenye kufanya ibada za mizimu hivyo kukufunga kabisa kutoka kwenye umasikini.

Tazameni huko mitaani kwenu Hawa watu wanaotumia pombe hizi kama huwa wanabadilika, miaka na miaka wapo vile vile, wanafanya kila kazi lakini hawajawahi kutoboa!

Hata kama unapitia hali ngumu usishawishike kutumia pombe za bei rahisi.
 
Katazo lingine kutoka Jf, mpaka sasa nineorodhesha makatazo zaidi ya 200 kutoka jf .
Kuwe na kitabu cha sheria na maamrisho kutoka Jamii forums na mitandao ya kijamii.
 
Kutokana na hali ya uchumi kuwa mgumu vijana wengi wameangukia kwenye unywaji wa pombe za bei rahisi zinazo lewesha haraka kama sungura,master, jogoo nk ukiwa mtumiaji wa hizi pombe huwezi kufanikiwa kimaisha hizi pombe zinapunguza uwezo wa kufikiria Kuna wengine wanakunywa hizi pombe za kienyeji kama komoni,ulanzi,choya,mnazi hizi ndio usiguse kabisa ata kama umeenda kusalimiwa ndugu zako huko kijijini kwenu usijaribu kugusa pombe hizi

Sababu gani ? Unavyokunywa pombe za kienyeji moja kwa moja unaunganishwa kwenye kufanya ibada za mizimu hivyo kukufunga kabisa kutoka kwenye umasikini tazameni huko mitaani kwenu Hawa watu wanaotumia pombe hizi kama huwa wanabadilika miaka na miaka wapo vile vile wanafanya kila kazi lakini hawajawahi kutoboa hata kama unapitia hali ngumu usishawishike kutumia pombe za bei rahisi
Sasa vijana wa chadema watapata vipi mzuka waandamane na Sultan?,acha wapige visungura tu wanachadema
 
Ni Bora kuacha kuacha kutumia kabisa pombe kwa mtu ambaye hana kipato hizo pombe zinachelewesha mafanikio huwa nashangaa kijana msomi unamkuta ameshika sungura au lita ya ulanzi anakunywa
Cha ajabu nn hapo?
 
Ogopa sana pombe ambayo uwe na hela au huna hela utakunywa tu ...

Ni pombe ambayo hata bure unaipata tu
 
Ogopa sana pombe ambayo uwe na hela au huna hela utakunywa tu ...

Ni pombe ambayo hata bure unaipata tu
Kuna siku nilikuwa duka moja jamaa mmoja alikuja pale dukani anakawa anataka nusu kuku nikawa sielewi jamaa alipimiwa nusu sungura ikabidi nimuulize muuza duka huyu mteja anauliza kuku dukani muuzaji alibaki kunicheka tu
 
Back
Top Bottom