Edo anawadiscuss Messi na Ronaldo na analipwa, na hao jamaa zetu wa Kiba na Mondi?Kwahiyo unamaanisha umeshikiwa akili na Eddo Kumwembe? Mbona yeye hamdiscuss babaake anamdiscuss Messi na Ronaldo ambao hata hawamjui?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure, uthibitisho kwamba hawafuatilii current issues ambazo ni muhimu ni mtihani wa usaili hapa juzi kule TRA wakaleta na uzi kabisa humu wanalalamika kweli kizazi kinaenda alijojo,define AGOA holaa! Who's Diamond's concubine hapo wanalo jibu, haya who's SADC's Chief Secretary...wanaojitahidi kufuatilia current issues wanasubiri MK,TL,BM,HP,JM & Co waseme halafu wao washabikie hawafuatilii mambo kwa kina...ukiuliza issue ya ACACIA ikoje holaa watakuambia 'nasubiri Noah yangu' dah!...vipi tusimulie unaifahamu COMESA? eer aah mmh holaa! ... Je ktk EAC Sudan Kusini ni mwanachama,kama ndio alijiunga lini na nani walimkubalia eeeh aaah holaa...halafu ukifeli usaili utasikia pale pana udini sijui wanapeana kwa kujuana...shubamajani,...blaif*knInasikitisha sana.
Tuna Vijana tena wasomi wa vyuo lakini thinking capacity kama ya "mende". Hata general knowledge tu ni shida. Wanajua faragha za "Wasanii" kuliko tafsiri za Kidiplomasia au kisiasa.
Hawajui leo katika Dunia ya ushindani wa kiuchumi taasisi zipi za kimataifa zinahusika.
Angalau siye zilipendwa tulijua kilimo cha kahawa au chai kinafanyika wapi na kwa nini, mito na maziwa makuu na faida zake nk. Tena hiyo ni shule ya msingi.
Kwa hakika "Vijana wa kileo" mnastahili "kutukanwa"
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanapata malikes na mafollowers[emoji275]Edo anawadiscuss Messi na Ronaldo na analipwa, na hao jamaa zetu wa Kiba na Mondi?