platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
Inasikitisha sana.
Tuna Vijana tena wasomi wa vyuo lakini thinking capacity kama ya "mende". Hata general knowledge tu ni shida. Wanajua faragha za "Wasanii" kuliko tafsiri za Kidiplomasia au kisiasa.
Hawajui leo katika Dunia ya ushindani wa kiuchumi taasisi zipi za kimataifa zinahusika.
Angalau siye zilipendwa tulijua kilimo cha kahawa au chai kinafanyika wapi na kwa nini, mito na maziwa makuu na faida zake nk. Tena hiyo ni shule ya msingi.
Kwa hakika "Vijana wa kileo" mnastahili "kutukanwa"
Sent using Jamii Forums mobile app