Baada ya Nest kusema inawaandaa vijana kua matajiri, ajitokeza kijana ambaye alifanya kazi kwa kupitia kauli hiyo hiyo na hajalipwa mwaka wa 3 sasa. Huyu kijana TRA lazima haimwelewi, Halmashauri lazima Haimwelewi , Fire aka Zimamoto nao hawaelewi ..... ni miujiza kua Bilionea kwa njia hii. Vijana hebu fanyeni kazi acheni hizi ndoto mtajikojolea mchafue godoro