MR.NOMA
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 339
- 505
Katika Hali ya kustajabisha tar 31 Dec 2021, mitaa ya Kimara Mavurunza, kijana mwenye genge la nyanya, tikiti,nanasi etc. Alivamiwa kijana mwingine mwenye hasira huku akifoka na kumwambia mara ngapi nimekuonya hutaki kusikia, basi jamaa akachukua kisu cha palepale gengeni akamwambia Leo nakumaliza, Ile amepiga cha kwanza akamkosa jamaa mwenye genge alikimbia mbio mithili ya Filbert Bayi kuelekea kusikojulikana.
Mwamba alipasua matikiti,viazi,nanasi na nk. Na kuondoka simu ya jamaa. Taarifa za awali zinasema kuwa mwenye genge alishaonywa mara kadhaa aache mazoea na kuchart na binti fulani ambaye mbabe emezaa naye ila hawaishi pamoja