Kijana akoswakoswa kuchomwa kisu na mwenzie kisa mwanamke

Kisa umezaa na mtu ndo uonyeshe ubabe huo…
 
Kijana anasaidiwa majukumu, hataki!! [emoji1787][emoji1787]
 
Kwani jamaa hakuona magunia kweli afanye kama wenzie?
 
Vijana wengi ni malimbukeni wa mapenzi, alaf hawafikiriii hasara itokanayo na vurugu wanazozianzisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…