realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Kumekuwa na Mwingiliano Mkubwa kiasi kwamba hatuelewi kinachoendelea.
Nani ni kiongozi wao?
Ofisi za Bongo movie ziko wapi?
Nani anahusika kuchagua waigizaji kunapotokea fursa na wanaangalia vigezo vipi?
Na je kama una kipaji unaanzia wapi au ndo ile uanze kujikomba na kutoa virushwa kidogo?
Sijaona popote ambapo panaonyesha kuwa unaanzia wapi? Zaidi ya kuwa na kampuni nyingi ambazl tayari ana watu wake.
Sasa kuna vijana wengi wanajua mambo ya Kupiga picha, kuedit, kuigiza na mambo mengi lakini hawajui wanaanzia wapi?
Nani awasaidie?