Kijana Jack Sweeney aliyekuwa akitrack private jet ya tajiri namba moja Duniani Elon Musk amepatiwa ofa ya kazi kwa kampuni moja inayojishughulisha na masuala ya aeronautics
kampuni hiyo imeamua kumpatia kijana Sweeney ajira kutokana na uelewa wake wa masuala ya flight data
hata hivyo mpaka sasa bado haijajulikana kama kijana Sweeney ambaye bado yuko college kama ameikubali ofa hiyo au ataipiga chini kama alivyopiga chini ofa ya $5000 toka kwa Elon Musk