#gaidiIngekuwa kwetu saivi ningekuwa , keko tayariπ π π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaona wenzio?
Siyo wewe muda wote unakuwa chawa wa hangaya tu
Hata huko Marekani huenda angekuwa Chini ya Ulinzi wa CIA (hawachelewi kusema ana bibi kutoka Russia au ana urafiki facebook na binti wa Afghanistan); Ulizia Pioneers wengine katika nyanja hizo..., hii issue basi tu publicity na Elon hawezi akamshukia dogo asionekane bully.... ila hii ingeweza kuwa tofauti kama ilivyo sasa (ni basi tu public sentiments inamfanya Elon kulichukulia hili suala with kids Gloves)Ingekuwa kwetu saivi ningekuwa , keko tayariπ π π
Elon musk kablock account inayomfuatilia kamblock na dogo pia na alimtumia ujumbe kuwa aliona sio sawa kumlipa ela kwa ajili ya kuifunga akaunti inayomfuatilia.Kijana Jack Sweeney aliyekuwa akitrack private jet ya tajiri namba moja Duniani Elon Musk amepatiwa ofa ya kazi kwa kampuni moja inayojishughulisha na masuala ya aeronautics
kampuni hiyo imeamua kumpatia kijana Sweeney ajira kutokana na uelewa wake wa masuala ya flight data
hata hivyo mpaka sasa bado haijajulikana kama kijana Sweeney ambaye bado yuko college kama ameikubali ofa hiyo au ataipiga chini kama alivyopiga chini ofa ya $5000 toka kwa Elon Musk
Chawa wa CCMUnaona wenzio?
Siyo wewe muda wote unakuwa chawa wa hangaya tu
Tumevurugwa sana baada ya inchi kufunguliwa π€£π€£π€£
Na bado nchi inazidi kufunguliwa kwa ajili ya mnada.Tumevurugwa sana baada ya inchi kufunguliwa π€£π€£π€£
Nimesikia fununu watu watauzwa nchi jirani na wanakotoka.Na bado nchi inazidi kufunguliwa kwa ajili ya mnada.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Nimesikia fununu watu watauzwa nchi jirani na wanakotoka.
Kama hili lina ukweli basi anza kujifunza kimalawi ama kizambia
Sasa utanichukuaje wakati nishapigwa mnadaπ
Ma bwana shamba akina Bia yetu na Kawe Alumni watanipa mwongozoSasa utanichukuaje wakati nishapigwa mnadaπ
πππππππMa bwana shamba akina Bia yetu na Kawe Alumni watanipa mwongozo
π€£π€£π€£πππππππ
Nimechoka kucheka
Uniache sasaπ€£π€£π€£
Nikuache kwa misingi ipi?Uniache sasa