Askari wa Usalama wanaomlinda Rais wa Uganda Yoweri Museveni walimzuia mwanaume asiyetambuliwa aliyekuwa akijaribu kumkaribia Rais Museveni katika viwanja vya Msikiti wa Mbogo wakati wa mkutano wa kampeni za mgombea wa NRM, Faridah Nambi anayewania ubunge katika jimbo la Kawempe Kaskazini.
Dhamira ya mwanaume huyo aliyekuwa amevaa fulana yenye picha ya Mtoto wa Kwanza wa Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba haikujulikana kama alikuwa na nia ovu au kwa mapenzi alitaka kumkumbatia Rais wake.
Mkutano huo umefayika jana Machi 11, 2025 katika jimbo la Kawempe Kaskazini ambapo Nambi anashindana na wagombea wengine kumi ili kupata atakaerithi kiti cha mbunge aliyefariki Muhammad Ssegirinya’
Yaan unaweza kuomba ardhi ipasuke uzame ndani yaan balaa kubwa jamaa atalawitiwa na mbwa wa mseven labda TU Mwenyezi Mungu baba mwenyezi aingilie Kati.
Askari wa Usalama wanaomlinda Rais wa Uganda Yoweri Museveni walimzuia mwanaume asiyetambuliwa aliyekuwa akijaribu kumkaribia Rais Museveni katika viwanja vya Msikiti wa Mbogo wakati wa mkutano wa kampeni za mgombea wa NRM, Faridah Nambi anayewania ubunge katika jimbo la Kawempe Kaskazini.
Hahaha Umenikumbusha mbali sana enzi hizo high school chemistry alikuwa anafundisha mganda kama huna akili alikua anadharau za kutosha mi nilikuwaga kilaza flani amazing ila sura na urefu wangu uliniokoa asee i looked very aggressive to be fooled around