Kijana aliyetaka kumvamia Museveni akiwa jukwaani adhibitiwa

Kijana aliyetaka kumvamia Museveni akiwa jukwaani adhibitiwa

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Askari wa Usalama wanaomlinda Rais wa Uganda Yoweri Museveni walimzuia mwanaume asiyetambuliwa aliyekuwa akijaribu kumkaribia Rais Museveni katika viwanja vya Msikiti wa Mbogo wakati wa mkutano wa kampeni za mgombea wa NRM, Faridah Nambi anayewania ubunge katika jimbo la Kawempe Kaskazini.

Dhamira ya mwanaume huyo aliyekuwa amevaa fulana yenye picha ya Mtoto wa Kwanza wa Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba haikujulikana kama alikuwa na nia ovu au kwa mapenzi alitaka kumkumbatia Rais wake.

Mkutano huo umefayika jana Machi 11, 2025 katika jimbo la Kawempe Kaskazini ambapo Nambi anashindana na wagombea wengine kumi ili kupata atakaerithi kiti cha mbunge aliyefariki Muhammad Ssegirinya’

Mbona kama anakatiza kwa kasi na siyo kumvamia Museveni
 
Banzukulu His Excellence had met his fantastics at the right political ground, I believe that kaguy wasn't a muyaye at all
 
Umenikumbusha mwalimu mmoja wa kiganda..

Alipenda kuita wanafunzi MUYAYE😅😅😊😊

Mtu akikuita MUYAYE kakudharau Sana sanaa kiwango Cha SGR.
Muyaye just means hooligan, muhuni, it's a chaotic or wrong doing association, a person with bad manners it's such a simple word
 
Askari wa Usalama wanaomlinda Rais wa Uganda Yoweri Museveni walimzuia mwanaume asiyetambuliwa aliyekuwa akijaribu kumkaribia Rais Museveni katika viwanja vya Msikiti wa Mbogo wakati wa mkutano wa kampeni za mgombea wa NRM, Faridah Nambi anayewania ubunge katika jimbo la Kawempe Kaskazini.
Nimeshangaa kule nyuma Mseveni kaachwa bila ulinzi wote wamekwenda kumpeleka mhalifu nje
 
Umenikumbusha mwalimu mmoja wa kiganda..

Alipenda kuita wanafunzi MUYAYE😅😅😊😊

Mtu akikuita MUYAYE kakudharau Sana sanaa kiwango Cha SGR.
Hahaha Umenikumbusha mbali sana enzi hizo high school chemistry alikuwa anafundisha mganda kama huna akili alikua anadharau za kutosha mi nilikuwaga kilaza flani amazing ila sura na urefu wangu uliniokoa asee i looked very aggressive to be fooled around

All in all waganda ni weusi na washenzi
 
MAIGIZO. NIMEICHAMBUA VIDEO AKILINI NA NINEHITIMISHA NI IGIZO.
Tuachane na hayo.

Mlinzi huyu alikuwa makini zaidi. Baada ya kumdhibiti aligeuka nyuma kuangalia usalama unlike walinzi wengine
Screenshot_20250312-152852.png
 
Hahaha Umenikumbusha mbali sana enzi hizo high school chemistry alikuwa anafundisha mganda kama huna akili alikua anadharau za kutosha mi nilikuwaga kilaza flani amazing ila sura na urefu wangu uliniokoa asee i looked very aggressive to be fooled around

All in all waganda ni weusi na washenzi
Kwaio mwalimu aliogopa kukuita MUYAYE😅😅

Aisee waganda wanapenda Sana kuitana MUYAYE 😅 yaani akikudharau na Yale masifa yao wanakuita MUYAYE. Ni humiliation/ insulation kubwa sanaa
 
MAIGIZO. NIMEICHAMBUA VIDEO AKILINI NA NINEHITIMISHA NI IGIZO.
Tuachane na hayo.

Mlinzi huyu alikuwa makini zaidi. Baada ya kumdhibiti aligeuka nyuma kuangalia usalama unlike walinzi wengineView attachment 3267809
Baaaaaasiii baaaasii kwisha kazi mi nilipoiona tu kwa mara ya kwanza nikajua hii Juakali bin Kanumba the great film
 
Back
Top Bottom