Kijana aliyetushia uhai wa Rais Biden auawa

Huenda kijana alikuwa na sababu za msingi, wangemuacha atimize lengo lake kwanza.
 
Kumbuka huyu ndiye aliyemtishia Ben Saanane humu, na muda mfupi yakatokea yaliyotokea. Na Kuna mpaka Uzi kumuhusu huyu na watu wamekuwa wakisema ni mshukiwa Namba Moja huyu.
 
Hiyo Craig Robertson siyo kijana kama ulivyoandika bali ni mzee mwenye miaka 75.
 
Hujajuwa kuwa USA is on alert 🤐
 
Wewe ni fala kweli kweli,unaleta mada hapa ukilenga kutetea Serikali Takataka na kinyesi ya CCM.
Huyo kauawa kwa sababu alitaka kuwapiga Risasi FBI,hata kiingereza cha Darasa la saba tu kinakushinda
 
Hakuna kitu kama hicho kwenye suala la Ulinzi wa Raisi. Unashugulikiwa ipasavyo.
sema ukivuka mipaka lazima ushughulikiwe

Majuzi kua jamaa lilikua linamfokea Biden linamwambia "you work for me,answer My questions" walinzi wa Biden wakawa wanamtuliza jamaa, jaribu hapa bongo utuletee mrejesho
Kushugulikiwa ni Kushugulikiwa tu. Iwe U.S au hapa Tanzania.
Tatizo tunapenda kushabikia mi drama show na Movies za kipropaganda kuwa U.S hakuna utumiaji wa nguvu za kiserikali tunabaki tunajidanganya kila siku humu kuwa mambo kama hayo hayatokei kwa Wazungu!(kumbukeni tunasomea huko) tunasahau kuna uhalisia. Itoshe, inasemekana waliomripoti ni mtandao aliokuwa akiutumia, kuwa kuna mjamaa analeta fyokofyoko, anatishia usalama wa Raisi, yaliyotokea inabaki kuwa historia tu.

Demokrasia has nothing to do na yaliyotokea. Ndio tunajua hatujui.
 
Tulizana uelewe, huyo jamaa alishatishia sana na akaonesha silaha, fbi walimfata akagoma kuongea nao bila arrest warrant wakamuacha, je huku kwetu ukifanya hivo Hali itakuaje? Wenzetu bado Wana ustaarabu sana
 
Wacha nyodo. Ndio unataka kudai Tanzania hawafuati sheria zao? Unataka kulazimisha kuwa taasisi zetu hazi angalii human liberty and dignity yaani tupo bora liende! Sio?
 
Huyo mtu,alikua na bunduki kabisa na amekua akitishia siyo maramoja.Askari wammtembelea mara ya kwanza,lakini akaendelea.Hata hivyo hakuishia kumtishia Rais tu,bali hata viongozi wengine,ambapo haijawekwa wazi,kama alipovamiwa na FBI,aliriakitije..
Kwa nini wasingemuweka ndani tu mpaka ziara iishe?
 
Wacha nyodo. Ndio unataka kudai Tanzania hawafuati sheria zao? Unataka kulazimisha kuwa taasisi zetu hazi angalii human liberty and dignity yaani tupo bora liende! Sio?
Hapa tupo Bora tuende tu, atokee mtu atishie uhai wa rais akiwa na silaha uone kama watasubiri hata wapate Hio warrant ya mahakama, usijitoe ufahamu!!!!
 
Kumbuka huyu ndiye aliyemtishia Ben Saanane humu, na muda mfupi yakatokea yaliyotokea. Na Kuna mpaka Uzi kumuhusu huyu na watu wamekuwa wakisema ni mshukiwa Namba Moja huyu.
Mimi nafikiri tushirikiane tumfahamu vizuri ili na yeye akutane na mkono wa Sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…