Mwanaume ukijitambua vizuri utagundua kuwa,
Haitoshi kuamini unapendwa kwa kuambiwa au kwa text like "NAKUPENDA"
Mwanaume hapendwi bali anaheshimiwa, Bro ukiheshimiwa utapenda tu
Ndio maana we choose to marry mid girls with respect, hawa classy ladies tunatumia kama Path.
Manzi akikuheshimu kabisa
1. Hawezi cheat
2. Arguments zinapungua
3. Atakutaja popote bila aibu
4. Anakubali kuwa under control
5. Upendo ni 100%
Bros
Sex sio determinant ya kupendwa but Respect is
Na kama hutoi respect hizo huduma hupati.....ni kama kuku na yai......nini kianze?Respect wanapata wanaohudumia, kama anajipendezesha na kujilisha respect hupati
Yule tajiri wa Mwanza na Yule Josef Msukuma wa Goba hawakuwa na hela?Tafuta hela respect hapewi kapuku
Hao wote ni wasukuma,wasukuma ni washamba wa mapenzi aswa mwanamke mweupe,hujishusha thamani wenyewe kwa ulimbukeni wa KYule tajiri wa Mwanza na Yule Josef Msukuma wa Goba hawakuwa na hela?
Kama mwanaume huna hela usikubali kukosa AkiliYule tajiri wa Mwanza na Yule Josef Msukuma wa Goba hawakuwa na hela?
Sahihi....usikose vyoteKama mwanaume huna hela usikubali kukosa Akili