Mbona kila kitu kipo wazi kule jamaa alishasema alisoma vitabu mwanzo akaanza business akapigwa pesa za kutosha, akarudi kusoma tena ndo akaanza kupiga, hakuna sehemu alisema ni utajiri wa haraka wala hajasema ni lazima ule.. na alisema kama hujasoma vizuri usitrade, kila kitu kipo wazi atakaepigwa utakua ni ujinga wake tu na sio kumlaumu ontario
Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app