Kijana amka, hakuna pesa rahisi

Kijana amka, hakuna pesa rahisi

mkuu mbona zamani hukuja na angalizo kama hili? au fx haikuwepo? kwanini umejitokeza kipindi hiki? kwahiyo mkuu tuseme una machungu na pesa za member watakazo poteza? hivi mkuu tuseme una roho nzuri au mbaya?
 
Ukweli mchungu unaosemwa na wachache, wacha wamsaidie ONTARIO kupanua mtaji wake na kuendeleza mipango yake.

Vijana tumekuwa wavivu hata wa Kufikiri, hatupendi kutokwa jasho kabisa

Wajinga ndio waliwao
 
335a15633eeb8f8082335a436f869746.jpg


Japo Mimi learner na bado naendelea kujinoa.. Cheki hiyo time frame 1hr, naendelea kula pips hadi SAA saba dk 21.
 
Forex sio get rich quick scheme na hata ukiita shortcut bado utakua unakosea

Inahitaji muda wa kujifunza na kupractice

Yule mkuu aliotoa lile tangazo ameshatoa maangalizo mengi tu kuwa Forex sio mahala pa kupatia pesa fasta fasta.Katika Forex kuna ups and downs just like any other businesses

Naamini wote wanaoattend ile training wanna uwezo mzuri Sana wa kufikiri na kuchambua
 
Mbona kila kitu kipo wazi kule jamaa alishasema alisoma vitabu mwanzo akaanza business akapigwa pesa za kutosha, akarudi kusoma tena ndo akaanza kupiga, hakuna sehemu alisema ni utajiri wa haraka wala hajasema ni lazima ule.. na alisema kama hujasoma vizuri usitrade, kila kitu kipo wazi atakaepigwa utakua ni ujinga wake tu na sio kumlaumu ontario

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Tuwape muda mkuu mambo yatajibu , na wataleta feedback kila mmoja mmoja ,kwangu mm naamini hakuna pesa rahisi ata ile ya wizi
 
Back
Top Bottom