Eric Banks
Senior Member
- Jun 4, 2015
- 174
- 245
Nani kakudanganya pesa ya forex ni rahisi? Ukiwa na mawazo mgando hivyo utaliwa. Forex inahitaji dedication na akili na maarifa kuliko unavowaza. Ukiweza hayo yote forex ni biashara nzuri kuliko zote dunian. Huwez uza nyanya na vitumbua. Forex is not get rich quickly. Forex is not for every one.Nasikia Forex, Nadex sijui nini.
Naona wengi wamemezwa na kampeni hiyo waki haidiwa kutajirika haraka.
Nakuasa kijana wangu, hakuna pesa rahisi, kila pesa ina jasho.
Ewe mwenye vipesa vyako vidogo usiingie kwenye biashara ambayo huijui na hujawa tayari kuipoteza hiyo pesa yako.
Huyo anaefanya kampeni ya Forex bado anakuambia analima na kufuga. Bado anakuambia forex inamuingizia mamilioni ya pesa. Kwanini asiachane na kilimo ambacho pesa yake huchukua muda mrefu kurudi?
Forex ni kama betting, ni km kamari tu, unapaswa kuwa na fedha ya ziada ambayo hata ikipotea huko haikuumizi kichwa.
Lakini kama ndio unategemea forex kama biashara yako ikutoe kimaisha, ikulishe, basi unapotea.
Sisemi hivi kwasababu ya chuki, au wivu, bali nakueleza ukweli kwamba usije piga kelele humu kuwa umepoteza muda na.pesa zako huko.
Nakuasa tena kijana, kama umeamua kuwa mfugaji, mkulima, muuza duka, mchuuzi, nk endelea na biashara yako.
Hizi biashara za kuaminishwa kuna ela na kutajirika kwa haraka hamna kitu kama hicho.
Hakuna biashara rahisi, nawachana live, atakae pasuka, nuna, atajua mwenyewe.
Ukweli Mezani.
Naweka Kumbukumbu sawa!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
We umeshatimiza wajibu wako,yakiwakuta shauri yao.iyo biashara wanaopiga pesa ni waanzilishi ambapo wengine ni wasindikizaji.Nimewaasa vijana ambao hawapendi ukweli.
Vijana wengi wa kitanzania ni rahisi kuaminishwa vitu kwa haraka bila reasoning.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi hizi akili mnatoa wapi ? hao waanzilishi wa forex ndo akina nani ? kama huelewi kitu sio lazima ucommentWe umeshatimiza wajibu wako,yakiwakuta shauri yao.iyo biashara wanaopiga pesa ni waanzilishi ambapo wengine ni wasindikizaji.
ha ha ha ha hata ku google tuu hujui una jua hata iyo maana ya Forex kijana???We umeshatimiza wajibu wako,yakiwakuta shauri yao.iyo biashara wanaopiga pesa ni waanzilishi ambapo wengine ni wasindikizaji.
simple. Tuambie biashara ambayo haina risk...na ina faida
mbulula kabisa....Deci unafananisha na Forex? unajua dunia hii hela iko wapi wewe? kweli? ngoja ni log off...Watanzania ni wepesi sana kusahau. Kipindi cha Deci ulikua humwelezi mtu asicheze akakuelewa. Hii thread itabaki kuwa reference.,
*kamari chezesha, usicheze*
Wewe si ni mpiga upatu wa forex, endelea kuwatafuta wanaotaka pesa bila kufanya kazi. Mungu hakua na akili za mbayuwayu kusema mtakula kwa jasho.mbulula kabisa....Deci unafananisha na Forex? unajua dunia hii hela iko wapi wewe? kweli? ngoja ni log off...