Kijana amka, hakuna pesa rahisi

Huyu hajui nothing is easy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe si ni mpiga upatu wa forex, endelea kuwatafuta wanaotaka pesa bila kufanya kazi. Mungu hakua na akili za mbayuwayu kusema mtakula kwa jasho.
elimu, elimu, elimu......high tech zone hii kaka....one bitcoin Miezi minne iliyopita nilinunua USD 2500 sasa hivi ni USD zaidi ya USD 4,000....sasa hivi akaunti yangu inasoma 1.2......BTC .....halafu Forex nina gain zaidi na kuloose kidogo,...sasa wewe mfuga kuku unataka nikusaidiaje?..hasara napata kwenye kila biashara ninayofanya hiyo ni kawaida......
miaka minne napiga hela biashara hii sihitaji mtu yeyote sababu hii siyo network marketing.
 
Mleta mada hujakosea. Hakuna hela rahisi. Hata youtube ukiangalia wanakueleza kabisa kama huna subira, nidhamu, kujitoa, muda, taarifa sahihi, n.k usijaribu forex. Wewe unaonekana umeshakata tamaa. Wacha watu wajaribu fursa. Wewe kacheze tatu mzuka na biko. Ukimaliza nenda kwenye mkeka kubeti. Maisha ni mapana sana. Waache walioamua kurisk wanachomudu wafanye hivyo

Verified User
 
Nasikia Forex, Nadex sijui nini.
Naona wengi wamemezwa na kampeni hiyo waki haidiwa kutajirika haraka.
Kula tano, like na makofi ya kupongeza uzi huu mkuu, kwa kweli kuipata pesa halali ni lazima uhangaike, tena yawa tamu zaidi ikiwa halali, ila jasho lazima likutoke na usikate tamaa hata kwanini, hata kama haters wakikuponda na kazi/biashara ufanyayo usijali, zidisha bidii na umakini mara mia...
 
Na watakushambulia kweli kweli
 
Hakuna biashara isiyo na RISK..unaweza kufungua duka lakin likaungua moto au ukafilisika...acha wivu mkuu

Calculated Risk sio unajichukulia Risk tu ili mradi. Kitu hukijui hukielewi unapeleka tu hela zako huko then u call that taking risk. Ooh please dnt be dumb for once.

Risk isnt just Risk at times. Its all about risking to invest in other promising ventures instead investing in something u think or have analysed will be worth it with certain conditions in mind.
 
Mtoa mada nmekuelewa sana katika maisha hakuna vitu rahis kama wale watubwaliokua wanauza madawa yale ya ajabu mara ubatafuta wanachma mara iv n matapeli wanatumia pesa za watu kujinufaisha huku wale wateja wao wa mwanzo wakipata mgao kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi baada ya kuusoma ule uzi, niliutafakari nikagundua ili niingie kwenye biashara ile ya forex natakiwa kuwa na at least Tsh.500,000,000/= na kati ya hizo ni appoint Tsh. 5,000,000/= kuzicheza nikiwa huru kuzipoteza.

"Invest what you're willing to lose."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah! Umemwambia vizuri sana mwenye macho asome vzr na aelewe!

sent from TanDaLe
 
Tuwape muda mkuu mambo yatajibu , na wataleta feedback kila mmoja mmoja ,kwangu mm naamini hakuna pesa rahisi ata ile ya wizi
Ndio nani kasema kuna pesa rahisi? Unadhan Forex unaifanya bila ya kusoma? Ndio maana umeambiwa mtu asome kwanza. Na kuna vitabu vimeandikwa. Hii ni elimu kala elimu nyingine. Sema hujasoma masuala ya fedha ndio maana unapinga kila kitu ila waliosoma wanajua kuwa wanafundishwa forex vyuoni kwao.

Uvivu wa kusoma ndio unawagharimu watu wengi. Na huwezi kufanya biashara bila ya kupoteza hata siku moja. Na pia ww c mfanyabiashara utakuwa kijana wa chakula cha shikamoo. Hii ni biashara kama ya kuuza na kununua mchele. Unanunua mchele unaposhuka then uuze unapopanda. Na ikitokea imeenda kinyume kuwa umenunua mchele kwa 60000 ili uuze ukifika 90000 lkn soko linagoma kupanda baadae linashuka hadi 30000 hapo unategemea nin? Au waliolima matikit maji ili wapate pesa siku yanaiva wanakuta soko limejaa matikiti maji matokeo yake anauza moja shilingi 3 ili arudishe hela yake hata nusu aliyotumia.

Brother jifunze kufanya utafiti wa kila jambo kabla hujafungua mdomo wako kuongea.

NB. SI LAZIMA SOTE TUFANYE FOREX . WOTE TUKIFANYA FOREX NANI ALIME ? LIMA MBONGAMBONGA TUTAKUJA KUNUNUA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio nani kasema kuna pesa rahisi? Unadhan Forex unaifanya bila ya kusoma? Ndio maana umeambiwa mtu asome kwanza. Na kuna vitabu vimeandikwa. Hii ni elimu kama elimu nyingine. Sema hujasoma masuala ya fedha ndio maana unapinga kila kitu ila waliosoma wanajua kuwa wanafundishwa forex vyuoni kwao.

Uvivu wa kusoma ndio unawagharimu watu wengi. Na huwezi kufanya biashara bila ya kupoteza hata siku moja. Na pia ww c mfanyabiashara utakuwa kijana wa chakula cha shikamoo. Hii ni biashara kama ya kuuza na kununua mchele. Unanunua mchele unaposhuka then uuze unapopanda. Na ikitokea imeenda kinyume kuwa umenunua mchele kwa 60000 ili uuze ukifika 90000 lkn soko linagoma kupanda baadae linashuka hadi 30000 hapo unategemea nin? Au waliolima matikit maji ili wapate pesa siku yanaiva wanakuta soko limejaa matikiti maji matokeo yake anauza moja shilingi 300 ili arudishe hela yake hata nusu aliyotumia.

Brother jifunze kufanya utafiti wa kila jambo kabla hujafungua mdomo wako kuongea.

NB. SI LAZIMA SOTE TUFANYE FOREX . WOTE TUKIFANYA FOREX NANI ALIME ? LIMA MBONGAMBONGA TUTAKUJA KUNUNUA.


Huyo anaefanya kampeni ya Forex bado anakuambia analima na kufuga. Bado anakuambia forex inamuingizia mamilioni ya pesa. Kwanini asiachane na kilimo ambacho pesa yake huchukua muda mrefu kurudi

Naomba nikuute KuKu tu.

We unayefanya kazi na umefungua biashara au unalima kwanini usiache kazi ukalima tu? Au kwanini unafanyabaishara zaidi ya moja ?

Kwa mujibu ya maandiko kuwa ili uupate ufalme wa mbingu lazima ufanye mambo kadhaa..kwa waumini wa kiislamu wanatakiwa waswali, wafunge, watoe sadaka, watoe dhaka, na wawasaidie masikini na mayatima ili uipate pepo ambapo huko kuna ahadi ya kula na kunywa vizuri the same kwa maisha ya dunia ya fedha ili uishi kwa raha upate pesa ya kukidhi masuala yako lazima uwe na chanzo zaidi ya kimoja cha kujipatia pesa.

Ukitegemea Kazi kesho ukifukuzwa? Ukipata ajali miguu ikakatika? Mazao yako yakiharibiwa na wadudu? Duka lako likuungua moto? Kuku, mbuzi, kondoo wakifa kwa ugonjwa na ndio ulikuwa kitu kimoja c utajinyonga?




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unafanya kazi ya kuchemsha mchanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…