young_stunner
JF-Expert Member
- Nov 9, 2016
- 374
- 551
Huyu hajui nothing is easySijakuelewa kabisa.
Unasema hakuna pesa rahisi. Alafu hapo hapo unawachagulia vya kufanya!!!!!!!
Labda nikuambie kitu ndugu yangu, dunia ya leo inabadilika. Watu wanaenda na technology. Yaani hata uoto wa asili nao unabadilika.
Hatuna budi kubadili mifumo ya kufikiri pia.
Ni kweli forex ni ngumu ukiwa ndo unaanza. Ila ukishaizoea ni rahisi sana. Nina kama miezi minne sasa tangu niijue forex. Lakini naiona kesho yangu ikiwa kubwa.
Forex ni biashara kama biashara nyingine. Inahitaji muda, umakini na adabu. Hivyo usiwadanganye watu kuwa ni kamali.
Hata darasani hakuna somo rahisi. Lakini cha ajabu ni kwamba, lile somo unalofeli wewe, ndilo analofaulu mwenzako.
Mbali na yote, forex is not for everyone
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app