sam_wa_mitindo
Member
- Apr 7, 2020
- 10
- 4
Karibu sana mkuu, hiyo Kijana amka ni nini?, inahusika na nini, imeanza lini,location yake wapi?
Ushirikiano gani unaoutaka?
Kijana amka ni project ya kuamsha vijana kua na mtazamo chanya kuelimisha vijana wanao tumia madawa ulevi walio kata tamaa wanao waza kuajiriwa kijana amka inapatikana mkoa wa mwanza kata ya mkuyuni imeanza mwaka 2018 naitaji mfadhili ili tuweze kuwafikia tanzania nzima vijana na kutengeneza miradiKaribu sana mkuu, hiyo Kijana amka ni nini?, inahusika na nini, imeanza lini,location yake wapi?
Ushirikiano gani unaoutaka?
Moja ya vitu tulivo vifanya kutembelea vituo vya watoto yatima namba yetu ya wasap no.0628181393Karibu sana mkuu, hiyo Kijana amka ni nini?, inahusika na nini, imeanza lini,location yake wapi?
Ushirikiano gani unaoutaka?
Asante kiongoziKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidi.
SawaMkuu tulia kwanza alafu utoe Maelezo kwa kina
SawaEleza kama msomi bhaana! Unaelezea kitu kimoja kimoja kwanza kinaeleweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nitafanya hivoMbona unaandika kitoto sana , hivi kweli kwa staili hii unategemea mtu aje kuwekeza kwako???
Nyie wasomi vipi, huwezi hata kuandika kampuni yahusika na nini, iko wapi ina wafanyakazi wangapi, plan zako for the future ni zipi, kama mwekezaji nitafaidikaje??
Bado una safari ndefu kijana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru mh.Karibu sana,,Ni vizuri vijana kujiajiri..Tafadhali toa maelezo yaliyojitosheleza kuhusiana na icho kikundi chenu...Niwatakie mafanikio katika shughuli zenu vijana
Kwa nini bossmhandisi umeme unaniaibisha