Kijana amka

Kijana amka

Joined
Apr 7, 2020
Posts
10
Reaction score
4
Hodi wadau wa JF mi ni C.E.O wa kijana amka naitaji ushirikiano wenu project yetu bado nk changa tunaitaji wadhamini nitafurahi sana nikipata mdhamini umu kundini tatizo langu nikipost si pati kuona comment za walio coment kwenye post yangu

electrical enginer kwa kazi yote ya umeme nipigie simu no.0628181393 na promote bidhaa aina zote
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidi.
 
Mbona unaandika kitoto sana , hivi kweli kwa staili hii unategemea mtu aje kuwekeza kwako???
Nyie wasomi vipi, huwezi hata kuandika kampuni yahusika na nini, iko wapi ina wafanyakazi wangapi, plan zako for the future ni zipi, kama mwekezaji nitafaidikaje??
Bado una safari ndefu kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu sana,,Ni vizuri vijana kujiajiri..Tafadhali toa maelezo yaliyojitosheleza kuhusiana na icho kikundi chenu...Niwatakie mafanikio katika shughuli zenu vijana
 
Karibu sana mkuu, hiyo Kijana amka ni nini?, inahusika na nini, imeanza lini,location yake wapi?
Ushirikiano gani unaoutaka?
Kijana amka ni project ya kuamsha vijana kua na mtazamo chanya kuelimisha vijana wanao tumia madawa ulevi walio kata tamaa wanao waza kuajiriwa kijana amka inapatikana mkoa wa mwanza kata ya mkuyuni imeanza mwaka 2018 naitaji mfadhili ili tuweze kuwafikia tanzania nzima vijana na kutengeneza miradi

electrical enginer kwa kazi yote ya umeme nipigie simu no.0628181393 na promote bidhaa aina zote
 
Karibu sana mkuu, hiyo Kijana amka ni nini?, inahusika na nini, imeanza lini,location yake wapi?
Ushirikiano gani unaoutaka?
Moja ya vitu tulivo vifanya kutembelea vituo vya watoto yatima namba yetu ya wasap no.0628181393
IMG-20191201-WA0025.jpg

electrical enginer kwa kazi yote ya umeme nipigie simu no.0628181393 na promote bidhaa aina zote
 
Mbona unaandika kitoto sana , hivi kweli kwa staili hii unategemea mtu aje kuwekeza kwako???
Nyie wasomi vipi, huwezi hata kuandika kampuni yahusika na nini, iko wapi ina wafanyakazi wangapi, plan zako for the future ni zipi, kama mwekezaji nitafaidikaje??
Bado una safari ndefu kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nitafanya hivo

electrical enginer kwa kazi yote ya umeme nipigie simu no.0628181393 na promote bidhaa aina zote
 
Karibu sana,,Ni vizuri vijana kujiajiri..Tafadhali toa maelezo yaliyojitosheleza kuhusiana na icho kikundi chenu...Niwatakie mafanikio katika shughuli zenu vijana
Nashukuru mh.

Back
Top Bottom