Kijana amuua mama yake wa miaka 70 na mpwa wake

Kijana amuua mama yake wa miaka 70 na mpwa wake

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Hofu ya tanda katika kijiji cha Machako, baada ya kijana wa miaka 28 kumipiga mama yake na mpwa wake hadi wakafariki

Alikuwa mkali jtangu jumanne baada mama yake kumuuliza kwa nini amekula mayai wakati hajawahi kuleta cha kula kwa mama yake.

Baada ya majibizano alirudi na panga na kumpiga mama yake, wakati huo dada yake na mpwa wake walikimbia kuokoa maisha yao

Aliwakimbiza na kumkata dada yake mguuni kisha kumkabili na kumuua mpwa wake. Dada yake yuko hospitalini anapata matibabu

Majirani wanasema, aliwahi kuchinja mbuzi wa mama yake akamla na nyama iliyobaki akawatupia mbwa. Pia alikuwa na tabia ya kuchinja kuku wa mama yake, na alikuwa mtu mkorofi anapoulizwa

Tukio hilo limesharipotiwa kituo cha polizi cha Katheke lakini bado hakuna hatua iliyochukuliwa dhidi ya muuaji huyo

Wanakijiji wanaishi kwa hofu, huku watotot wakishindwa kwenda shule kwa kuhofia kuwa kijana huyo anaweza kuwavamia na wao

Wapelelezi wanamtafuta kijana huyo anayesemekana kukimbia
 
Back
Top Bottom