Kijana anakunywa maji lita 100 kwa saa mbili, tangu apigwe na radi

Achana na mambo ya Mungu yumwema namaneno mengine yasiyo na faida. Hebu toeni japo mawasiliano yake tuone tunampataje na tunamsaidiaje japo kwa kidogo tulichonacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah mtihani huo,maombi pia ni dawa ajaribu pia,ila kama WaTz tumsaidie pia hasa kwa walio karibu naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…